KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,151
tatizo si kusalimiana kwa tamaduni zetu za kitanzania huwezi kwenda kwenya shughuli na kusalimia watu wote na kumruka mwingine , kumbe nawewe ulikuwepo katika msiba huu. kubenea alisalimu watu wote kuanzia mwanzo wa mstari mpaka mwisho kwahiyo hakukuwa na sababu ya kutosalimu watu wengine
wote tunaishi katika taifa huru usiache kumsalimu jiradi yako sababu ni jambazi
Narudia na ntaendelea kusisitiza,List of shame ya wahariri wa bongo wanaopigana vikumbo kuwalamba miguu mafisadi:
1:Saed kubenea
2:Absalom Kibanda
3😀eo Balile
4:Muhingo Rweyemamu(alikua mratibu wa habari wa jk uchaguzi uliopita,sasa hivi ni secretary wa yusuf manji)
5:Jackton Manyerere(huwa anadai mjukuu wa mwl nyerere sijui kama kweli bwana)
Zamani kubenea alikua anawaponda kina Balile mpaka kuwaandia makala,sasa hivi kajiunga nao kufukuzia mkwanja wa Lowassa.
Wahariri wapiganaji wa kweli na wazalendo wa nchi hii waliobaki ni:
1:Ansbert Ngurumo
2:Mbaraka Islam(huyu rafiki yake sana kubenea lakini kwenye hili la kuwalamba miguu mafisadi naona amekataa kula matapushi yake)
3:Evarist Mwitumba
4:Mzee Ndimara Tegambwage
5:Gideon shoo
6:Hamis Kibari
7:Mzee mwanakijiji
Kuna watu wanafikiri kutofanikiwa kwa wanaopinga ufisadi ndani ya CCM ni ushindi kwa Chadema, hivyo wapo tayari kuwashabikia lolote litakalosaidia upepo kwenda kwenye muelekeo huo,
Nina neno juu yenu, asiye kinyume chenu, yu upande wenu, siasa haziendi kama machine, unapaswa uzichange karata zako vizuri sana, jifunzeni kwa Raila Odinga kwa kuiona njia ya ushindi kupitia kumeguka kwa KANU na kuepuka kugawanyika thereafter kupitia Kibaki Tosha, KANU iliondolewa madarakani mwaka 2002, kwa Tanzania siioni bado dalili ya kujifunza hizi mbinu.
Naomba nikupongeze Mpayukaji hapo kisu kimegonga kwenye mfupa duuh! ni ukweli mtupu kuwa hizo tindikali alimwagiwa kwa kutembea na mke wa mtu tena very true alikuwa anafanya kazi Bakhressa company(jina nalihifadhi) na hii ndiyo sababu hawezi kuwataja hao anaosema walimwagia tindikali, pia huyu huwa anadesa makala mwandishi fulani anamwandikia (jina nalihifadhi) na zaidi ya yote ni mwanaccm pure kabisa na alitaka kuwania ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la kilwa au Mafia na akajitoa kwa kuhofia kushindwa, kama kubenea anabisha aje hapa akanushe yeye si member humu...! halafu tumwanike hapa jamviniKubenea angejitafutia chuo akasome na kuondokana na ukihiyo wake wa kuandikiwa makala. Ngurumo analijua sana hili. Kimsingi, Kubenea si mpambanaji bali mgangaji ambaye alipata umaarufu kutokana na kumwagiwa tindikali kwa kile kinachodaiwa kutembea na mke wa mtu ambaye anajulikana kuwa alikuwa akifanya kazi kwa Bakharessa. Kwa wanaomjua Kubenea tangu akiwa Habari Corporation wanashangaa huu umaarufu wa kiundishi unatoka wapi kwa mtu ambaye elimu yake ni ndogo hivyo. Anyway, ukipenda chongo huita kengeza. Kwa wanaomjua Kube watazidi kushangaa hadi siku Kubenea wa kweli-kihiyo na mgangaji njaa atakapofichuliwa. Ingawa mtoa hoja hakwenda mbali zaidi ya kutumia picha ambayo kimsingi, haionyeshi chochote bali salamu za kawaida ambazo hazigombi, kuna siku wanaomjua Kubenea wa kweli na ndoa yake na CCM ya kumpeleka India kila mwezi watasema na ataumbuka na wanaomuona shujaa watatafuta pa kuficha aibu.
Ni ajabu lead story kutoandikwa na Kubenea kwenye gazeti lililopita. Ukiona hivyo jua maji yanaanza kuzidi unga. Importantly, time will surely and accurately tell. When is that? Just soon and soon just soon.
we umesoma mpaka kiwango gani cha elimu? mbona unaongea pumba? hivi una nini wewe? umeambiwa hapa hatujadili picha bali hoja ya kubenea kununuliwa , we vipi bhana?Hatujafikia kiwango cha kutosalimiana kwa sababu ya mitazamo yetu. Kubenea kutokubaliana na Lowasa sio lazima aandike yeye(Kubenea) na Dafi asiandike. Hata hivyo mahusiano ya aina yeyote kati ya Lowasa na Kubenea hayawezi kuathiri uwezo wa kitaaluma wa dafi na Uhuru wake wa kutoa maoni na kuandika habari. Anayetumia kigezo cha picha ya kusalimiana Lowasa na Kubenea eti ndio kipimo cha mapambano/upambanaji basi hajui mapambano. ni mtazamo finyu kama ule wa Waingereza waliolalamika baada ya Mugabe kupeana Mkono na Jamaa wa familia ya Malkia awlipokuwa katika Ibada ya mazishi ya Papa YohanePaulo wa Pili. kwanza hapa hatujaelezwa picha hii ilipigwa wapi? kwanini?. Je kama Kubenea as a journalist alienda kubalance story kama taaluma inavyomdai angepata wapi maelezo zaidi ya kumwona Lowassa mwenyewe. Aliyetuwekea mjadala huu leo asaidiwe kufiriri vizuri zaidi, kiwango chake kipo chini.
Kaka sio wewe tu nilishasema sana humu na kuishia kutukanwa
1. Kubenea ni mwana CCM, na uchaguzi uliopita alitaka kugombea ubunge huko kilwa au mafia na kujitoa dakika za mwisho
2. Kubenea alijitahidi sana kuiua chadema kwa kumwandika zito vibaya , ili wanachadema wengi hawakuliona na wakamrarua zito vibaya ( niliulalamika sana hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/92369-zitto-aisumbua-chadema%3B-chama-chafikiri-namna-ya-kumdhibiti-6.html#post1324607)
3. Kubenea amejitahidi sana kuaaminisha umma kuwa alimwagiwa tindikali kwa sababu ya ufisadi ukweli anaujua mwenyewe, (mke wa mtu sumu!) kubenea mpaka leo hajaweza kuuelezea umma ni FISADI GANI ALIFANYA HIVYO, japo wamwagaji wa tindikali walikamatwa!!!
4. Kubena huwa anaandika habari za kikwete kwa mlengo mmoja tu, kumwonyesha kuwa ni mpiganaji wa ufisadi na wanaomkwamisha ni watu wake wa chini
5. Kubenea huyu, habari zake nyingi hazina vithibitisho ila ni imaginary na ku-create matatizo mengi
NI MJASIRIAMALI, AMETUMIA WAKATI NA NYAKATI HIZI, AMESOMA WATANZANIA WENGI WANATAKA NINI, AMEENDA VILE WATANAZANIA WANAVYOTAKA NA LEO HII AMEKUWA TAJIRI ILI HALI UKIWAULIZA WASOMAJI WA MWANAHALISI wanagain nini? ni umbeya...ila umbeya wa kisiasa which is very unique and intersting kuliko umbeya wa kimapenzi na ma-star!
Yaani kwa huyu bwana umemuonea vibaya sana
Mwanakijiji ni controversial na kila article yake huwa nasoma kwa macho mawili na brain yangu huwa inatulia
Nitaweza kumtetea mara mia na kuweza kuleta uthibitisho mara mia mbili kuwa sidhani kama ni mmoja wa wasaliti wa taifa hili
Ila kwa MKJJ usitegemee sana aandike vile unavyotaka! huwa anapenda kubadilika kuusoma umma na kupata conclusion ambazo aidha alikuwa hazijui au alikuwa anazitegemea. anapenda zaidi kumwachia msomaji awaze sana na asitafuniwe
Sina hofu na huyu bwana
Hao wengine wengi huwa sisomi nakala zao kwa sababu ya idha brain zao ndogo au hazijafikia ile ladha na maturity ambayo mimi nikosoma najua nitauchagmasha ubongo.
hao wengine wote siwajui!! siwasomi kuna mmoja niliishaacha kumsoma siku nyingi, ukiniuliza nani nitakujibu!
Mzee ni wazi umekurupuka,soma vizuri nilichoandika na kundi gani yupo mwanakijiji,kuna makundi mawili hapo kaka,kundi la kwanza ni ma pro ufisadi na la pili ni ma Anti-ufisadi soma kwanza!
Huyo ulieacha kumsoma siku nyingi ni nani hapo????????????
Umesema vizuri sana ila kuweka kumbukumbu sawa tu...hiyo ya Saed kumuandama Zitto ukweli japo unauma ni kwamba alikua anatumwa na chairman Freeman mboe,mbowe nae amekua akimtumia sana Saed kwenye umafia wake wa kichadema chadema akitaka kuwashughulikia wapinzani wake chamani,zitto analijua hili na alikua akitulalamikia sana kuhusu saed kutumiwa na mboe kumchafua.
Habari ya tindikali sitaizungumzia kwa kuwa iko katika matatizo binafsi zaidi ya mzee mzima saed,japo naijua A to Z lakini namstahi mkubwa mwenzangu yule sipendi kumuumbua japo ananiudhi sana siku hizi,tumetoka mbali,"hatukukutana barabarani"
Kuhusu kuandika habari za kikwete kwa njia ya kumuonea huruma,huyo unamzungumzia kubenea wa zamani,enzi lowassa akiwa waziri mkuu,na yote hayo alikuwa akiyafanya kwa maelekezo ya mzee mengi,ambae siku zote hatakagi jk agongwe,hivyo mzee mengi ambae yeye saed eti huwa anamtambulisha kama babake,ndio alikua akimuelekeza kubenea jinsi ya kuigonga serikali hasa Lowassa bila kumuumiza jk,sasa kubenea amekunya kwenye kambi ya mengi kaona kunanuka kakimbilia kambi ya maadui wa mengi,LOWASSA NA ROSTAM,Mi ndio maana sometimes huwa nakubali saed ana akili nyingi sana sema wazazi wake hawakumpeleka shule tu,angekua balaa,maana kama anaweza kuwachezesha ngoma wasioijua wasomi kama mzee mengi na rostam na wengine wengi kwa darasa lake la saba tu na wasomi mpaka wa havard wanacheza bila kumshtukia ni wazi ana kipaji cha ajabu huyu mmafia!
Kuhusu habari nyingi anaandikiwa na watendaji wa serikali walio kwenye kambi za wanaosaka urais,wanachompendea yeye ni kwamba kwanza anajua kutunza siri za source ya habari husika na pili ukimpelekea habari anaitoa kama ilivyo bila kuhariri neno hata moja ndio maana anaonekanaga kama muandishi wa habari za uchunguzi wa ajabu,lakini huwa analetewa pale kwenye ofisi yake mwananyamala kule uchochoroni alikohamia siku hizi baada ya kumwagiwa tindikali iliyoharibu jicho lake moja mpaka leo miwani mieusi haimtoki kwa ajili ya hilo jicho linalotoa machozi kutwa.
kuhusu ujasiriamali dogo ana zali sana yule,gazeti lenyewe aliwadhulumu wenzake waliotoka RAI baada ya Rostam kuinunua Rai na habari Corp Kiujumla baada ya muungwana jk kuingia ikulu ikiwa ni mkakati wa wanamtandao kudhibiti habari tanzania,serikali yao iwe inaandikwa vizuri tu,baada ya kutoka kule habari corp,waandishi waliokua rai original wakaamua waanzishe gazeti lao.wakiliita Hali halisi,kuna stori ndefu hapo nifupishe tu kwa kusema,kubenea aliwaingiza mjini wenzake kina shoo,mbaraka islam na wengine wakaamua kuondoka baada ya kuwa tayari wameipa umaarufu Hali halisi amabayo sasa imekua ni kampuni inayochapisha mwanahalisi,wale waliodhulumiwa wote wakaenda kuanzisha Raia mwema!
kwenye wapambanaji mtoe gideon shoo hana tofauti na salva.Narudia na ntaendelea kusisitiza,List of shame ya wahariri wa bongo wanaopigana vikumbo kuwalamba miguu mafisadi:
1:Saed kubenea
2:Absalom Kibanda
3😀eo Balile
4:Muhingo Rweyemamu(alikua mratibu wa habari wa jk uchaguzi uliopita,sasa hivi ni secretary wa yusuf manji)
5:Jackton Manyerere(huwa anadai mjukuu wa mwl nyerere sijui kama kweli bwana)
Zamani kubenea alikua anawaponda kina Balile mpaka kuwaandia makala,sasa hivi kajiunga nao kufukuzia mkwanja wa Lowassa.
Wahariri wapiganaji wa kweli na wazalendo wa nchi hii waliobaki ni:
1:Ansbert Ngurumo
2:Mbaraka Islam(huyu rafiki yake sana kubenea lakini kwenye hili la kuwalamba miguu mafisadi naona amekataa kula matapushi yake)
3:Evarist Mwitumba
4:Mzee Ndimara Tegambwage
5:Gideon shoo
6:Hamis Kibari
7:Mzee mwanakijiji
This is one of the stupid arguement I have ever seen in life! Hawa jamaa inaonekana wako Msibani (tafsiri yangu). Sasa kama mtu ni mwizi/fisadi vyovyote vile ukimkuta eneo kama hilo usimsalimie? Huo sio mfumo wetu wa maisha.
Hata sijaelewa mantiki ya hii sred