MwanaHALISI laibukia MSETO...

Dah! Heko nalo lilikuwa gazeti?

issue hapa ni kwamba hilo linawezekana. nakumbuka mara tu baada ya kufungiwa mwanahalisi kubenea alilitumia toleo la mseto lililofuata kurudia kuichapa tena habari iliyomfanya afungiwe.
 
Watalifungia nalo...

wataogopa maana itakuwa ni persecution. sasa hivi balozi nyingi za ulaya zimeishikia bango manahalisi ifunguliwe. serikali haitaweza kurudia tena kosa! at least not immediately.
 
wataogopa maana itakuwa ni persecution. sasa hivi balozi nyingi za ulaya zimeishikia bango manahalisi ifunguliwe. serikali haitaweza kurudia tena kosa! at least not immediately.

Huu ni ujinga mwingine, kwani hii nchi inaongozwa na mabalozi wa nchi nyingine au Serikali iliyopigiwa kura? Haya ndiyo mawazo ya Chadema kila Mara kukimbilia kwa mabalozi, japo sasa wanaogopa maana wataulizwa kuhusu kuteka na kutesa nani anawafadhili.
 
Sioni kama kichwa habari kinaendana na unayoyasema.
 
wataogopa maana itakuwa ni persecution. sasa hivi balozi nyingi za ulaya zimeishikia bango manahalisi ifunguliwe. serikali haitaweza kurudia tena kosa! at least not immediately.

Mlevi hana aibu...
 
Kifungo cha mwanahalisi kitaishi lini? Waanzishe gazeti lingine.
 
Serikali ikiua adui mmoja inazalisha wengine 100, kufungwa kwa mwanahalisi ni kufungua midomo ya magazeti mengine...
Na kiukweli, huwa wanalifuta tu lile neno MwanaHalisi, lakini kontent huwa zinahamia kwingine...
 
Safi Mwanahalisi tuletee uhondo wa habari tunayoipenda kwa uhakika na ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…