Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
Asante kwa kutujulisha kumbe kila j5 tutakuwa tunakula habari za uchunguzi kama kawa.
Mimi nawashauri hali halisi puplishers wasajili magazeti kama 10 hiviliwepo ggazeti kaka,mjomba,binamu,nkazamjomba,kilembwe,mjukuu,shangazi,shemeji nk ili likifungiwa moja tuendelee kupata habari.
Katika kile kinachoonekana ni kufuata ushauri wa JF katika kuhakikisha kuwa wananchi wanaendelea kupata habari zenye mshiko,leo Gazeti dada la MwanaHALISI la Mseto limebeba makala ya kisiasa tofauti na kawaida ya gazeti hilo kusheheni michezo.
Ukurasa wa mbele kabisa wa Mseto la leo kuna makala iliyoandikwa na Mhariri wa MwanaHALISI Comredi Jabir Idrissa yenye kichwa cha maneno 'Kilicholiponza MwanaHALISI ni hiki'.Katika makala hiyo,Idrissa anachambua kwakina makala zinazosemekana kuwa siliiudhi Serikali na kupelekea kufungiwa gazeti pendwa la MwanaHALISI.
Wakati huohuo,Gazeti la RaiaMwema linaloongozwa na Gwiji wa Uandishi, Jenerali Ulimwengu aka Mzee wa G55, nalo limejitokeza katika toleo la leo kupinga ubabe wa Serikali kufungiafungia magazeti ya kiuchunguzi. Aluta Continua...