Munru
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 1,340
- 664
aangalie usimpeperushe.
yap, maana upepo wa sasa ivi ni gharika , kova , msangi na zoka ni lazima wawajibike kwa hili suala
aangalie usimpeperushe.
Mbona tayari wanajulikana ni Ahmed Msangi na Jack Zoka hawawezi kulikwepa Hilo watabeba laana zote za wapenda haki
Kova + Zoka = Jakaya Kikwte!
...Halafu anakimbilia kwenye vyombo vya habari ambavyo vinamrekodi na kurusha habari eti "SISI HATUHUSIKI KUMTEKA DTK ULIMBOKA!" Kwani nani alimuuliza? Wanapanga vitu KICHINA CHINA,wanajitetea KICHINA CHINA, wanaumbuka KICHINA CHINA!
Kumbe mukulu anatumia pedi sikuhizi? Na pedi yanyewe ndio k.ova?Kova anatumiwa na JK kama pedi. Ni kama mjinga fulani hivi.
liko mahakamani msizunguzie!!!!!!!!!!!!!!!!
Kova + Zoka = Jakaya Kikwte!
Huyu ndiye yuko nyuma yote haya.....kwasababu ana upeo mdogo ndie anashauri njia hizi za kijinga!
..
Kova + Zoka = Jakaya Kikwte!
Huyu ndiye yuko nyuma yote haya.....kwasababu ana upeo mdogo ndie anashauri njia hizi za kijinga!
..
Mbombo ngafu.
Kova + Zoka = Jakaya Kikwte!
...Halafu anakimbilia kwenye vyombo vya habari ambavyo vinamrekodi na kurusha habari eti "SISI HATUHUSIKI KUMTEKA DTK ULIMBOKA!" Kwani nani alimuuliza? Wanapanga vitu KICHINA CHINA,wanajitetea KICHINA CHINA, wanaumbuka KICHINA CHINA!
waangalia movie wakiwa nao ni wachina
yap, maana upepo wa sasa ivi ni gharika , kova , msangi na zoka ni lazima wawajibike kwa hili suala
Kumbe mukulu anatumia pedi sikuhizi? Na pedi yanyewe ndio k.ova?
Kova anatumiwa na JK kama pedi. Ni kama mjinga fulani hivi.