Mwanahalisi: Dr.Olimboka asisitiza, waliotaka kumuua wanatoka Ikulu

Kova amezoe kutudanganya kuhusu al-shaabab, hii ya sasa tunasema no, tunamtaka muhusika.
 
mashikolo gawazungu.

kova la saba simrahumu , jack zoka alikua anaitwa simon zoka wakati anasoma na baba yangu so nawasiwasi na elimu yake pia
 
Mashikolo gawazungu.

kova la saba simrahumu , jack zoka alikua anaitwa simon zoka wakati anasoma na baba yangu so nawasiwasi na elimu yake pia
 
Taarifa ambazo zimeandikwa katika gazeti hilo zimedai kuwa Dr. Olimboka amesema uzushi na uongo wa kupikwa na jeshi la polisi juu ya utekeaji na mupigwa kwake kuwa ni Mkenya ni kupindisha hali ya mambo na ukweli na kasisitiza watesi wake wanatoka Ikulu.

Naamini hapa Kova kwa msemo wa Mh. Sugu kuwa Arudi studio akatengeneze filamu yake ya kichina hii aliyoitoa ishavuja.
hivi yule Mkenya wa watu sijui yuko wapi aisee ?
 
Taarifa ambazo zimeandikwa katika gazeti hilo zimedai kuwa Dr. Olimboka amesema uzushi na uongo wa kupikwa na jeshi la polisi juu ya utekeaji na mupigwa kwake kuwa ni Mkenya ni kupindisha hali ya mambo na ukweli na kasisitiza watesi wake wanatoka Ikulu.

Naamini hapa Kova kwa msemo wa Mh. Sugu kuwa Arudi studio akatengeneze filamu yake ya kichina hii aliyoitoa ishavuja.
Pia waliomteka MO ni makaburu kutoka South Africa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom