MwanaHALISI: Big lie or slip of the tongue? - Saed Kubenea

Status
Not open for further replies.
Vyovyote sisi tnawaamini tuliowapa madaraka na wao wameona watu kama bwana Komu ambaye ni mkurugenzi wa fedha wa CDM na Saed mganga njaa ni hatari kwa usalama wa nchi hasa juhudi zao za kueneza majungu na uzushi kupitia gazeti lao la MwanaHalisi. Kwa kipindi hiki wakae chini wajipange upya kusubiri uchaguzi wa 2090 wanaweza kupata serikali inayoweza kuvumilia upuuuzi wao.

Mkuu njaa haishi kwa hasira kama ulizo nazo tulia.Ok pengine umetumwa, Ujumbe umefika kachukue posho yako kwa Magamba.
 
Ooh dear MWANAHALISI..what happened was to take you out of deal, and that was successfully EXECUTED. But the reasons was not apparently corresponded with the fact. That is why you have given a BAD NAME and then GET KILLED. Do you remember.."give a dog bad name and kill it" And what President said was not a slipery of the tongue, but what he was informed by the informers and that is what he understood concern the Mwanahalisi Saga. It is true or may be the fact that, sometimes our beloved President is probably miss-informed which is very bad for the national image..
 
Vyovyote sisi tnawaamini tuliowapa madaraka na wao wameona watu kama bwana Komu ambaye ni mkurugenzi wa fedha wa CDM na Saed mganga njaa ni hatari kwa usalama wa nchi hasa juhudi zao za kueneza majungu na uzushi kupitia gazeti lao la MwanaHalisi. Kwa kipindi hiki wakae chini wajipange upya kusubiri uchaguzi wa 2090 wanaweza kupata serikali inayoweza kuvumilia upuuuzi wao.
Kwani wewe ukipewa kazi ya kumkuwadia hata sokwe utafanya ukijidai ni binadamu? Kweli akili nyingine za ajabu! Katika karne hii kuna makuwadi wa CCM!!!!? Nani alisema kuna aliyewaweka madarakani hao majambazi? Nipe breakdown ya matokeo ya URAIS jimbo kwa jimbo 2010. Hata kama unalishwa/kulipwa unapaswa angalau uwe na busara! Usalama wa Nchi unaojeruhi na kuua watu ndio unaoutetea!! Kosa la Mwanahalisi lilikuwa kumtaja yule mwenzenu IGHONDU baada ya kumjeruhi Dr Kubenea!! Majambazi yalijificha yasifichuliwe kwa kuwafungia watoa taarifa!! Time will tell!!
 
Halafu hapa eti alikuja kukujulia hali!:A S angry:

aa.jpg
 
Katiba mpya iruhusu Rais kushitakiwa kwa makosa ya kibabe yaliyowazi kama haya. Hivi unyama waliomfanyia Dr Ulimboka uishe hivihivi tu! mauaji ya wazi kabisa ya Mwangosi yaishe hivihivi tu! Raia waliouliwa na polisi Arusha, Morogoro na Songea waishie hivihivi tu!
Hapana. Tufike mahali hawa jamaa tuwawajibishe kisheria.
 
Pamoja na machungu yote JK na CCM wanayotusababishia kutokana na kulifungia MwanaHalisi mimi na wengine tumebaini uoga na udhaifu wa JK na CCM.

Kwa sababu matendo kama haya hufanywa na watu wasiojiamini, wenye kushindwa kukabili maswala uso kwa uso bali kwa visingizio nje ya makabilioano.

Kwa misingi hiyo, hata chembe ya huruma iliyokuwa imesalia inayeyuka na kujazwa na chuki ambayo hulipuka kwa cheche ndogo tu.
 
Vyovyote sisi tnawaamini tuliowapa madaraka na wao wameona watu kama bwana Komu ambaye ni mkurugenzi wa fedha wa CDM na Saed mganga njaa ni hatari kwa usalama wa nchi hasa juhudi zao za kueneza majungu na uzushi kupitia gazeti lao la MwanaHalisi. Kwa kipindi hiki wakae chini wajipange upya kusubiri uchaguzi wa 2090 wanaweza kupata serikali inayoweza kuvumilia upuuuzi wao.

Mwisho wa Ubaya Aibu hata Gadaffi,Sadam,Mubaraki and the like walijua watawala milele na hakuna sheria itakayoweza kuwagusa.
 
Kwanini Kubenea usiende mahakamani kupata haki?


Hakuna mihimili mitatu chini ya JK. Kuna mhimili mmoja tu nao ni JK mwenyewe. Apelekewe kesi inayomhusu kama mtuhumiwa wa kwanza ili afanyaje?
 
Halafu hapa eti alikuja kukujulia hali!:A S angry:

aa.jpg

KUbenea ni mnafiki tu kama wanafiki wengine,mpenda wake za watu kama kiongozi wenu,hili la lukazwa hospitali ilikua ni kwa ajili ya michezo na wake za watu,yule mfanyakazi wa bakhresa alietembea na mke wake ndio akaona amfundishe adabu,ndio hakwenda mahakamani wala polisi alikubali yaishe kimya kimya kwa kujidai eti kina rostam na lowassa ndo walimfanyia,wizi mtupu kwa msiomjua kube ndio mnahangaika nae
 
It has been said that lies ascend using escalators, but the truth climbs through the stairs.
Lies may reach there faster, but alas, the truth is never far behind!

Keep up the spirit, it is just a matter of time...

said by who? Very nice quote.
 
This calls for solidarity among media houses geared to taking the government to task. It's time to remember what Karl Marx said that " do not expect your rights on the silver platter". Media houses should not let Halisi Publishers to fight alone but have got to rally with them and use different fora to make their voices heard. What has happend to Mwanahalisi may happend any news paper that writes hard news. Others might argue that the authority that banned Mwanahalisi did that in the limelight of the law. Well and good. However, that law is not unchangeable like the Roman Catholic Marriage law. However, even in the former changes in certain circumstances. The law used by government to ban the respective weekly is as bad as ever and many a time there has been outcry about this law but stakeholders have remained silent untill when any of them is subject to its wrath. Tanzanians are credited to be waking up when the situation is bad. Yes we are excersing fire brigade kind of management
 
WaTZ tumechoka na sababu za "HII NI NCHI YA AMANI", "TUNAPENDA AMANI"... Huo ni upunguani... JK toa sababu za kueleweka huo uchochezi uko wapii....
ASANTE MUNGU BABA YANGU ANA AKILI KULIKO JK
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom