Halafu naona hata media yenyewe ina mgawanyiko fulani hivi, kuna magazeti yana beef za kisiasa na kibiashara ambayo yanafurahia kuona magazeti mengine yakifungiwa, bila kujua kwamba tukishazoea serikali kufungia fungia magazeti tu hata wao wanaweza kufungiwa bila mjadala.
I have no qualms with the government asserting it's duty, na kama kuna valid grounds kwamba magazeti yamevunja sheria na ethics za uandishi then tatizo ni la magazeti, yafungiwe, na magazeti mengine yajifunze ili yasije kuipa serikali sababu.
Lakini, kama serikali na vyombo vyake vya usimamizi vinakuwa heavyhanded, penalization of any media outlet in Tanzania constitutes a thread to the freedom of all media outlets in Tanzania.
Mwalimu alituambia alilazimika kwenda nje ya nchi kuchapisha kitabu chake UONGOZI NA HATIMA YA TANZANIA. Sasa kwa nini bwana kubenea umekubali kubanwa na hawa mafisadi? Hii ni vita - unapambana na adui --------, badili mbinu. Kwa upumbavu wao bado hawajaweza kufungia teknologia.
At first i thought Kubenea and his team mates would decide to initiate another newspaper,pitiful that has not been feasible,what if they does that? Coz what banned was Mwanahalisi and not journalists,may be i know nothing about the conditons were given,what if again that ban will never be unbanned? They won`t publish another newspaper again,if yes then their career is over,watch out and try another means if the available one bear no fruits.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.