Mkuu kuna waandishi wa habari mataahira au wamenunuliwa na wanasiasa.
Mchunguze sana huyo mwandishi na utagundua hilo.
Mdomo Wake Tu Umekaa Kichuchunge Na Macho Yake Nayo Yamekaa Kisanii Sanii Je Wewe Ulitegemea Mbichwa Wake Utoe Madini Kama Ya Mtani Wangu Balile? Na Ili Kudhihirisha Kuwa Huyo Sina Malengo Ni POPOMA Unaambiwa Eti Yeye Ndiyo Afisa Uhusiano Wa Ile Redio Iliyouzwa Iitwayo Njia Ya Kwenda Mbinguni Na Nadhani Uliona Jinsi Balile Na Wale Wanafunzi Akina Mansoor Na Juma Walivyomdharau Na Kiukweli Leo Sina Malengo Ameumbuka Na Amejiaibisha. Huyo Ndiyo Mwanadiplomasia Wetu Siku Za Baadae.
Je Ulisikia Lile Dongo La Mwisho Ambalo Balile Alimtupia Sina Malengo? Siku Nyingine Akijua Kuwa Anakwenda Studio Halafu Mgeni Mwingine Ni Balile Awe Anachomoa Tu Kwani Napenda Mno Balile Alivyokuwa Akimdhihaki Kidiplomasia Kwa Mfano Kuna Sehemu Balile Alimwambia Kuwa Hicho Chuo Cha Diplomasia Unachosoma Wewe Sasa Mimi Nimesoma Hapo Miaka 11 Iliyopita. Hapo Sina Malengo Nilimwona Alivyonywea Kwani Kiuwezo Kumpambanisha Ktk Vipindi Vya Hoja Balile Na Sina Malengo Wa Mawingu Iliyouzwa Ni Sawa Na Kumpambanisha Daniel Sturridge Wa Liverpool FC Na Juma Javu Wa Yanga FC.

Yule jamaa nilivyokua namwona leo inaonesha anataka ukuu wa wilaya maana hana kiwango chakushiliki mijadara anatakiwa kurudi kwenye bongo muvi tu
Muda mfupi uliopia nilikuwa natazama kipindi cha "Jicho letu ndani ya habari" kinachorushwa na star tv.
Kama kawaida, kipindi hiki kilikuwa kinajadili namna magazeti yalivyoripoti habari za wiki nzima na kwa wiki hii mjadala mkubwa ulikuwa ni kuhusu kuhojiwa na Tume ya Maadili kwa mama Tibaijuka na mwenzake Andrew Chenge.Waalikwa katika kipindi hicho walikuwa ni mhariri Balile na mwanahabari Simon Simalenga.
Kauli ya mama Tibaijuka kuwa alitumia shilingi milioni 10 kununulia mboga ilichukua nafasi katika mazungumzo hayo kwani iliripotiwa sana na vyombo vya habari.
Ilipofika zamu ya mwandishi Simalenga kutakiwa kutoa maoni yake juu ya kauli hiyo ya mama Tibaijuka,kwanza alianza kwa kurejea kauli za kejeli zilizopaswa kutolewa na viongozi wengine siku za nyuma ambapo aliitaja kauli ya Mramba kuwa hata watanzani wakila nyasi lazima ndege ya raisi lazima inunuliwe;kauli ya Andrew Chenge, kuwa mabilioni yale ni vijisenti na kauli hii mpya ya mama Tibaijuka.
Cha ajabu,alianza kwa kusema yeye huwa haamini maneno ya kusikia mpaka ashuhudie mwenyewe akimanisha kuwa haamimi kama kauli hizo ziliwahi kutolewa na viongozi hao.Huo ulikuwa ni kama utangulizi tu.
Aliponishangaza zaidi mwandishi huyu ni pale alipojaribu kuetetea kauli ya mama Tibaijuka kuwa, milioni 10 ilikuwa ni hela ya mboga tu kwa kusema "inawezekana hiyo milioni 10 mama Tibaijuka alitumia kununulia mboga kwa ajili ya shule anayomiliki".
Yaani hapa mwandishi huyu alikuwa anajaribu kutuambia kuwa, alichomanisha prof.Tibaijuka ni kuwa, milioni 10 zile labda alizitumia kununulia mboga kwa ajili ya wanafunzi wa shule yake na kwamba waandishi wenzake walitakiwa wachunguze kauli ile kabla ya kuiripoti tu kama ilivyotolewa.
Swali;
Je,inawezekana mwanahabari huyu yuko sahihi na kwamba waandishi wenzake walitakiwa kuifanyia utafiti kauli ile kwanza kabla ya kuiripoti?
Hata Balile na wale wanafunzi wanaosomea uandishi wa chuo cha SAUT nao walimshangaa sana na walianza kumshambulia ila Dotto Bulembo alikuwa akiwazuia wasimshambulie kutoka studio za Mwanza.
Ufisadi umeielemea ccm, wakubali tu matokeo wakae pembeni wavuane magamba vizuri. wanasema rafiki wa kweli ni yule akufaaye kwa dhiki. makada wengi kama siyo wote wa ccm wako kimaslahi tu. Hawana mapenzi na chama wala nchi yao.
Moja ya kanuni ya mawasiliano/mazungumzo ni kujua:
Unazungumza na nini
Unazungumza na nani
Unazungumza wakati gani
Unazungumza mahali gani
......
Katika muktadha wa hali ya umasikini mkubwa walionao watz wanaotegemea viongozi wao watumie rasilimali za nchi kuwainua kiuchumi...kauli ya Tibaijuka ni KEJELI na MATUSI kwa wananchi.
Ni kweli kwa kipato chake hakukosea kuamini hivyo ila amekosea kuiambia jamii anayoiongoza ambayo sehemu kubwa matumizi ya familia kwa siku haizidi shilingi 1,800/=
huyu bw simaleng na mfahamu tangu hakiwa kaole sanaa group kimsingi ni msanii aliyejivika udiplomasia wa ccm ndio maana hata bw mkubwa alimteua kuwa mjumbe wa bunge la katiba sasa unategemea acheze ngoma ya nani? wakati ccm ndio kinamweka mjini? huyu ni njaatu zina msumbua,ufaamu wake umetekwa na diplomasia ya kupachikwa siku hizi uprofesa u dk ​umechakachuliwa ni wakupewa jamani.Mdomo Wake Tu Umekaa Kichuchunge Na Macho Yake Nayo Yamekaa Kisanii Sanii Je Wewe Ulitegemea Mbichwa Wake Utoe Madini Kama Ya Mtani Wangu Balile? Na Ili Kudhihirisha Kuwa Huyo Sina Malengo Ni POPOMA Unaambiwa Eti Yeye Ndiyo Afisa Uhusiano Wa Ile Redio Iliyouzwa Iitwayo Njia Ya Kwenda Mbinguni Na Nadhani Uliona Jinsi Balile Na Wale Wanafunzi Akina Mansoor Na Juma Walivyomdharau Na Kiukweli Leo Sina Malengo Ameumbuka Na Amejiaibisha. Huyo Ndiyo Mwanadiplomasia Wetu Siku Za Baadae.
Je Ulisikia Lile Dongo La Mwisho Ambalo Balile Alimtupia Sina Malengo? Siku Nyingine Akijua Kuwa Anakwenda Studio Halafu Mgeni Mwingine Ni Balile Awe Anachomoa Tu Kwani Napenda Mno Balile Alivyokuwa Akimdhihaki Kidiplomasia Kwa Mfano Kuna Sehemu Balile Alimwambia Kuwa Hicho Chuo Cha Diplomasia Unachosoma Wewe Sasa Mimi Nimesoma Hapo Miaka 11 Iliyopita. Hapo Sina Malengo Nilimwona Alivyonywea Kwani Kiuwezo Kumpambanisha Ktk Vipindi Vya Hoja Balile Na Sina Malengo Wa Mawingu Iliyouzwa Ni Sawa Na Kumpambanisha Daniel Sturridge Wa Liverpool FC Na Juma Javu Wa Yanga FC.
hivi ni kweli alikuwa msanii?
hata Mh. Chenge anapaswa kujua hayo uliyosema. maana hizi kauli zao ndio zianumiza na kuzidi kuwatia jazba wananchi
siku si nyingi atafukuzwa kazi pale mmiliki wa star tv ni GAMBA ikifika wakati wa mgombea urais akateuliwa ni mrengo wa mwenye kituo basi doto ​kazi hana,Ila huyu Doto Bulembo ninamuona kama bonge la mtangazaji
huyu bw simaleng na mfahamu tangu hakiwa kaole sanaa group kimsingi ni msanii aliyejivika udiplomasia wa ccm ndio maana hata bw mkubwa alimteua kuwa mjumbe wa bunge la katiba sasa unategemea acheze ngoma ya nani? wakati ccm ndio kinamweka mjini? huyu ni njaatu zina msumbua,ufaamu wake umetekwa na diplomasia ya kupachikwa siku hizi uprofesa u dk ​umechakachuliwa ni wakupewa jamani.
ndio na kujuza mkuu alipata fadhili za posho za ujumbe wa BMK alijitengenezea minoti kibao sasa kwa nini asikitete chama?Kumbe alikuwa ni mjumbe wa bunge la katiba,basi ndio wale wale tu.