Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Muuliza Swali hajui Anachouliza kwani konsonant na irabu kwa ujumla huitwa FONIMU IN phonemes

mkuu kama kakosea muelekeze kwa ustarabu kama ni mwanafunzi hata sarufi itakuwa inamsumbua. "children are naturally born good they are to be treated kindly by adults in a society(teachers) by studying their characteristics and their special need" Jean Jacques Rousseau 1772-1778.
 
naomba kupewa miundo ya barua mbalimbali

mkuu unamaanisha aina za barua au muundo wa barua.kiuhalisia kuna aina nying sana za barua,kuna friendly letter/personal letter,official letter,letter to the editor na nyinginezo nying.lakin hizi barua zina miundo/muonekano wake katika uandishi,hii miundo ipo ya aina mbili kuna old formart na modern/block format.
 
haswa kupata muonekanowake nafikiri modern format ndio niitakayo
 
Awali ya yote Alfabeti ni nomino, maana yake ni herufi za lugha zilizopangwa kwa utaratibu maalum km vile, a,b,ch,d.e n.k ambazo hutumiwa katika maandishi. Kwa mtiririko huo alfabeti ni Konsonanti na Irabu bila kusahau Viyeyusho (w) na (y)

Asante Sana mkuu!
 
Back
Top Bottom