Mwanafunzi wa MiLembe

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,710
Reaction score
2,387
Jamaa karuhusiwa kutoka hospitali ya vichaa,
akapandishwa kwenye ambulance hadi karibu na kwake, akaulizwa unapakumbuka kwako?

Akajibu ndio nyumba yangu ileeeeee!,

wakatoka watoto wawili wamevaa unifom akasema wanangu waleee wanaenda shule!,

Akatoka mwanamke akasema mke wangu yuleee!,

ghafla akatoka mwanaume akasema na mimi yuleeee... naenda kazini!.
Wahudum wa ambulance hoi...
 
Inachekesha sana japo ipo kitambo jamvini,na nimecheka tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…