Mwl Razaq Mtele Malilo
Member
- Sep 29, 2016
- 34
- 84
Unalia lia nini wewe. Ulitaka polisi wamwache huyo Mgallah afanye atakavyo?KIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI.
Nimefika Chuo Kishiriki cha DUCE nimekuta rafiki yangu wa CHASO Joshua Mgallah amekamatwa na Polisi hapa DUCE ambapo CCM wanasherehe yao ya kumpongeza Magufuli ndani ya Kumbi za mihadhara ya chuo hiki cha DUCE.
Joshua Mgallah kwa taarifa za awali ametiwa nguvuni kwa kutuhumiwa kupanga njama ya kuvuruga mkutano huo wa CCM wa kumpongeza Magufuli.
Shughuli za kichama zinafanyika ndani ya chuo.... na watu wakiwemo wanafunzi wamevaa nguo za chama.
Kwa by - laws za UDSM (MAIN CAMPUS) haitakiwi hii sijui hapa DUCE.
Mwl RM. Malilo.
UDSM - DUCE
Walijuaje alitaka kufanya fujo? Si wangemwacha kwanza afanye fujo zake ndo wamkamate?KIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI.
Nimefika Chuo Kishiriki cha DUCE nimekuta rafiki yangu wa CHASO Joshua Mgallah amekamatwa na Polisi hapa DUCE ambapo CCM wanasherehe yao ya kumpongeza Magufuli ndani ya Kumbi za mihadhara ya chuo hiki cha DUCE.
Joshua Mgallah kwa taarifa za awali ametiwa nguvuni kwa kutuhumiwa kupanga njama ya kuvuruga mkutano huo wa CCM wa kumpongeza Magufuli.
Shughuli za kichama zinafanyika ndani ya chuo.... na watu wakiwemo wanafunzi wamevaa nguo za chama.
Kwa by - laws za UDSM (MAIN CAMPUS) haitakiwi hii sijui hapa DUCE.
Mwl RM. Malilo.
UDSM - DUCE
Vipi hao wa CCM waliokuwa wakifanya huo mkutano huku wamevalia nguo za CCM sio wanasiasa? au wewe unachojua wanasiasa ni wale wa vyama vya upinzani tu? nafikiri akili zako hazipo sawa ndugu kwa ulichokiandika.Auawe kabisa.. Wanafunzi wajinga wanasiasa ni janga kwa taifa
KIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI.
Nimefika Chuo Kishiriki cha DUCE nimekuta rafiki yangu wa CHASO Joshua Mgallah amekamatwa na Polisi hapa DUCE ambapo CCM wanasherehe yao ya kumpongeza Magufuli ndani ya Kumbi za mihadhara ya chuo hiki cha DUCE.
Joshua Mgallah kwa taarifa za awali ametiwa nguvuni kwa kutuhumiwa kupanga njama ya kuvuruga mkutano huo wa CCM wa kumpongeza Magufuli.
Shughuli za kichama zinafanyika ndani ya chuo.... na watu wakiwemo wanafunzi wamevaa nguo za chama.
Kwa by - laws za UDSM (MAIN CAMPUS) haitakiwi hii sijui hapa DUCE.
Mwl RM. Malilo.
UDSM - DUCE
DUCE ni sawa na mlimani tu, ni marufuku mwanafunz kujihusisha na shughuli za chama chochote
hii inaambatana na marufuku ya mwanafunz kuvaa sare za chama na kuingia chuo, hairuhusiwi
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .KIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI.
Nimefika Chuo Kishiriki cha DUCE nimekuta rafiki yangu wa CHASO Joshua Mgallah amekamatwa na Polisi hapa DUCE ambapo CCM wanasherehe yao ya kumpongeza Magufuli ndani ya Kumbi za mihadhara ya chuo hiki cha DUCE.
Joshua Mgallah kwa taarifa za awali ametiwa nguvuni kwa kutuhumiwa kupanga njama ya kuvuruga mkutano huo wa CCM wa kumpongeza Magufuli.
Shughuli za kichama zinafanyika ndani ya chuo.... na watu wakiwemo wanafunzi wamevaa nguo za chama.
Kwa by - laws za UDSM (MAIN CAMPUS) haitakiwi hii sijui hapa DUCE.
Mwl RM. Malilo.
UDSM - DUCE
Una ubongo mdogo kama kalio lako,kuna sheria inayoruhusu mtu kuuawa bila hukumu. Acha utahila.Auawe kabisa.. Wanafunzi wajinga wanasiasa ni janga kwa taifa