Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, auawa Kikatili Baada ya Kutekwa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Matukio ya namna hii ya naumiza sana, binti mdogo akitafuta maisha yake ila ghafla yamekatishwa na watu wenye roho mbaya.

Ila kuna jambo najiuliza je ni ishu za biashara za baba yake? au mahusiano? Siasa, au ni wale wahalifu wakujipatia kipato kwa njia za nama hii?
=================

Mwanafunzi wa Shahada ya Sheria Chuo Kikuu cha Mzumbe, Tawi la Mbeya, Bi. Shyrose Mahande (21), ambaye alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kuomba kiasi cha pesa kwa baba yake mzazi Dkt. Mabula Mahande, ili wamuachie huru huku wakimtumia video fupi wakimuonyesha wanavyomtesa, ameuawa kikatili kwa kuchomwa moto kwenye vibanda vya biashara Nane Nane.

Hili la kuteka watu wakilichekea hali itakuwa mbaya sana. Nigeria imekuwa haifai kabisa sababu moja ni kutekana. Haijalishi wanateka kupata hela au kwa sababu za kisiasa.
Mkuu hili jambo la kutekana serikali iliangalie sana. Watu wata take advantage na itakuwa too late. Nigeria sasa hivi imekuwa order of the day kwa matukio kama haya.
 
Matukio ya namna hii ya naumiza sana, binti mdogo akitafuta maisha yake ila ghafla yamekatishwa na watu wenye roho mbaya.

Ila kuna jambo najiuliza je ni ishu za biashara za baba yake? au mahusiano? au ni wale wahalifu wakujipatia kipato kwa njia za nama hii?
=================

Mwanafunzi wa Shahada ya Sheria Chuo Kikuu cha Mzumbe, Tawi la Mbeya, Bi. Shyrose Mahande (21), ambaye alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kuomba kiasi cha pesa kwa baba yake mzazi Dkt. Mabula Mahande, ili wamuachie huru huku wakimtumia video fupi wakimuonyesha wanavyomtesa, ameuawa kikatili kwa kuchomwa moto kwenye vibanda vya biashara Nane Nane.

Mhm😫😫😫😫
 
Hii hali tumeilea wenyewe, wakitekwa kina mzee Kibao, Azrony na wengine licha ya kupiga kelele mamlaka hazikujali. Kumbe sasa wahalifu wa aina nyingine kwa kutumia mwanya huo huo wameamini kwamba kosa la kuteka ni kosa linalofumbiwa macho na mamlaka na haya ndio matokeo yake. Tunavuna tulichopanda kama Taifa. Rest easy Shyrose umeondoka ukiwa binti mdogo sana. Pole kwa familia!!
 
Kitendo cha Cyber crime huko polisi kitafutiwe mbia kutoka sekta binafsi.

PT haina rasilimali watu ya kutosha yenye weledi halafu kuna mlolongo mrefu et mpelelezi anahitaji details za namba iliyotumika kwenye uhalifu kutoka TCRA HQ tena vielelezo kwa barua!!

NB:Wanawake kama humhitaji MTU,usimlie hela zake,pesa za kuhonga zinauma kishenzi ikiwa hata mzigo hujapiga na nyuma ya baya matukio kwa mabinti kuna huo utapeli wa mapenzi.
 
Tunaenda mwelekeo mbaya sana

Bahati mbaya tuliowapa kazi ya kupambana na haya wameelekeza nguvu kuhakikisha wanashika madaraka kwa namna yoyote ile na hawajali kuhusu shida za walipa kodi wanaowapa nguvu.
 
Kitendo cha Cyber crime huko polisi kitafutiwe mbia kutoka sekta binafsi.

PT haina rasilimali watu ya kutosha yenye weledi halafu kuna mlolongo mrefu et mpelelezi anahitaji details za namba iliyotumika kwenye uhalifu kutoka TCRA HQ tena vielelezo kwa barua!!

NB:Wanawake kama humhitaji MTU,usimlie hela zake,pesa za kuhonga zinauma kishenzi ikiwa hata mzigo hujapiga na nyuma ya baya matukio kwa mabinti kuna huo utapeli wa mapenzi.
Angalizo lako kwa mabinti ni zuri, lakini nadhani hii issue ipo kwa familia ya binti. Soma maoni ya watu mtandaoni, Wana video ya binti akitishiwa, kupigwa hadi kuuwawa watekaji waliomba 200M

Lisemwalo…

Hapo kwa mlolongo wa upelelezi ni kasheshe, hadi barua?
 
Back
Top Bottom