Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Hivi taaluma ni nini? Je, PRO na Corporate Communication Manager ni taaluma au ni posts kwa wenye taaluma?
 
Hivi taaluma ni nini? Je, PRO na Corporate Communication Manager ni taaluma au ni posts kwa wenye taaluma?

Kwanza Kabla Tu Sijakujibu Unajua Maana Ya PRO Na Corporate Communication Manager Kwa Kiswahili? Nisije Nikakujibu Kumbe Mwenzangu Hata Nilichokiandika Tu Hapo Ubongo Wako Umeshindwa " Kutohoa ". Kama Umeelewa Nitafsrie Kwanza!
 
Ungejibu kwanza swali langu mkuu.
 
Mbona umepanic Mrembo?Hawa kama ni wapenzi wa muda mrefu na huenda jamaa kajipanga kumwoa na wamekubaliana hivyo.Huyo dada ndoa kwake ndiyo imeishia hapo maana damu ya mjamaa itamdai milele

Kipimo cha kupanick kwako ni nini?
 
duuuuuh unyama kweli huuu ko huyo mwanamke hakusimama kumtetea wanawake makatili hawa
 
Inauma sana mshikaji wang jeymode pumzika kamanda inauma sana wanawake watu wa ajabu sana
 
Kila weekend unakuja mwanza afu bado unaongelea mambo ya charcoal ribs kweli we ni wa kizamani. Hakuna mtu anayekula bata hapo mwz utampeleka charcoal ribs possibly ulikua unamaanisha jirani yake jembe ni jembe ukawa umekosea
 
Mkuu kabla sijenda mbali naomba niseme wazi kwamba huu ni ubabaishaji ULIOTUKUKA
 
Kwangu mimi nakuchukulia kama mwehu, taahira, chizi tu na nilishakupuuza kitambo sana.
I absolutely agree with you. This guy is an imbecile and we should all feel pity for him and ignore all the stinking boastful statements he always makes here.
 
mmh..
dada mwenyewe anaonekana anaroho ya nyau
 
Ungejibu kwanza swali langu mkuu.

Sasa Nitakujibu Kitu Ambacho Hata Maana Yake Tu Hujui Mkuu? Yaani UKUBWA Wote Huo Na Hivyo Bichwa Lako Lilivyo KUBWA Kama Jiwe La FATUMA Kutafsiri Tu Na Kuweka Katika Maana NYOOFU Neno Public Relations Officer au Corporate Communication Manager KUNAKUSHINDA Mkuu? Sasa Nitakusaidiaje Unadhani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…