wewe unapewa mkopo na serikali ukasome halafu wewe husomi kazi yako ni kutembelea tu mabweni ya wasichana.na utakufa sana tu ukiendelea na tabia hiyo
Habari yenu,
kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika katika kuangalia simu ya mpenzi wake alikuta sms ya mwanaume mwingine ambapo,alichukia na kuamua kuondoka na simu ya mpenzi wake.
Alichokifanya binti huyo aliita MWIZI ,watu walikuja na kupiga bila kuuliza,TAZAMA VIDEO HAPO CHINI.
Read More >>>>>kuona video
tah teh! mapenzi ya run dunia mapenzi yana nguvu ya kunyanyua Mlima Kilimanjaro !! Mapenzi yanaumaaHuyu Jamaa ni Fala na amekufa kizembe...
Alikuwa anataka kuondoka na simu ya huyo demu ili iweje???... Demu mwenyewe labda wamekuta kichuo chuo anataka kumdhibiti kama mke wa ndoa!.
Huu ni upumbavu!.....
.
!
Daaa huyu jamaa kumbe ndio huwa anatudanganya kwa level ya KUTUKUKA hivi! Afadhali leo kabambwaunaongea na shuhuda hapa afu unaleta habari za uongozi wa chuo. mimi hata leo nilikuwa nyamalango kwenye kastationary kangu afu wewe unaleta habari za brog apa
Japokua ni unyama uyo binti alichofanya lakini ni funzo kwa wengine.!
Unaanzaje kubeba simu ya mwenzako et kisa umekuta sms???
Ukishachukua simu itakusaidia nini haswaaaaa.....hapo ukute hakuna hata senti yako iliyotumika kwenye ununuzi wa simu