Watu wanashangaza badala kumuacha mwenzao apumzike kwa amani utazani walitoa hata rambirambi kwa wazaziLeo sijui umeandika vinini.sasa habari ya akwilina inahusianaje na hii yako? Visa viwili tofauti
Daaah poleni Mkuu. .A very good boy Shija was.
I knew him since his childhood.
Baba yake alimpenda sana na kumpa kila chema alichotaka.
Kijana mzuri ambae wazazi wamehangaika kumlea hadi chuoni,only for him to find a "whole new world" chuoni,ujana mwingi na kudate msichana asiye mwaminifu,demu alilipiwa hadi hosteli na dogo,na bado hakutuliza mzigo,Shija akafumania,katika kukurukakara na jamaa aliyemfumania,dogo akasukumwa na kuanguka toka ghorofa ya tatu.
I went there kutoa heshima kwa mwili,nikamtazama Shija,kijana mdogo,mzuri na suti yake amelala ndani ya jeneza,wazazi wake waliompenda sana wakiwa na nyuso za huzuni,mamia ya waombolezaji tukiwa tumewazunguka,tukimuaga kijana wao ambae ndio kaimaliza safari yake at his 20's na kwa staili hiyo!
Vijana wetu hebu tulipeni wazazi wenu sawa na matendo yetu,this is totally unfair.
Mkuu hiyo haikuwa UD?Cbe wanauana kwa wivu wa mapenzi 2010 msichana alichomwa kisu hadi kufa baada ya kumkataa bf wake na kupata bf mwingine
Visa vinalingana mkuu. Akwilina pia aliuawa kwa ujinga na upumbavu wa mavi kimimba na mboweLeo sijui umeandika vinini.sasa habari ya akwilina inahusianaje na hii yako? Visa viwili tofauti
Imenigusa sana hiiA very good boy Shija was.
I knew him since his childhood.
Baba yake alimpenda sana na kumpa kila chema alichotaka.
Kijana mzuri ambae wazazi wamehangaika kumlea hadi chuoni,only for him to find a "whole new world" chuoni,ujana mwingi na kudate msichana asiye mwaminifu,demu alilipiwa hadi hosteli na dogo,na bado hakutuliza mzigo,Shija akafumania,katika kukurukakara na jamaa aliyemfumania,dogo akasukumwa na kuanguka toka ghorofa ya tatu.
I went there kutoa heshima kwa mwili,nikamtazama Shija,kijana mdogo,mzuri na suti yake amelala ndani ya jeneza,wazazi wake waliompenda sana wakiwa na nyuso za huzuni,mamia ya waombolezaji tukiwa tumewazunguka,tukimuaga kijana wao ambae ndio kaimaliza safari yake at his 20's na kwa staili hiyo!
Vijana wetu hebu tulipeni wazazi wenu sawa na matendo yetu,this is totally unfair.
Wakati Akwilina akiuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala maeneo ya mkwajuni kinondoni jijini Dar, Feb 16 mwaka huu, mwanafunzi Shija Daudi Kasuku (20) wa chuo kikuu cha Elimu ya Biashara (CBE), Tawi la Dar, alidaiwa kuuawa kwa kusukumwa kutoka ghorofa ya tatu hadi chini.
Shija aliyekuwa akisomea Diploma ya Biashara akiwa yupo mwaka wa pili chuoni hapo, alidaiwa kuuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kile kilichosemekana kwamba ni wivu wa kimapenzi.
Sasa hiv UD hamna hayoMkuu hiyo haikuwa UD?
Hya ni matukio ya vyuoniCbe wanauana kwa wivu wa mapenzi 2010 msichana alichomwa kisu hadi kufa baada ya kumkataa bf wake na kupata bf mwingine
Nahisi na huyu kauwawa na ccmWakati Akwilina akiuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala maeneo ya mkwajuni kinondoni jijini Dar, Feb 16 mwaka huu, mwanafunzi Shija Daudi Kasuku (20) wa chuo kikuu cha Elimu ya Biashara (CBE), Tawi la Dar, alidaiwa kuuawa kwa kusukumwa kutoka ghorofa ya tatu hadi chini.
Shija aliyekuwa akisomea Diploma ya Biashara akiwa yupo mwaka wa pili chuoni hapo, alidaiwa kuuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kile kilichosemekana kwamba ni wivu wa kimapenzi.
Mh!Leo sijui umeandika vinini.sasa habari ya akwilina inahusianaje na hii yako? Visa viwili tofauti
Shigongo kupitia kijarida chake cha Ijumaa.Chanzo cha habari mkuu
Hayo yanatokea sana sema kama binadamu mwenye akili timamu unatumia kamsemo ka wadhungu let it go! halafu ukitupa jicho huku na kule unaona wali kibao wanaita sasa kwanini nijiue au niue mtu mkuu.Hajawahi achwa au kuacha wewe, maumivu ya mapenzi yasikie kwa mtu mwingine, omba yasikukute, yahitaji utashi wa ziada kuyakabili maumivu yake[emoji2]
Hapo hapo kwenye wivu wa mapenzi hadi ujitoe roho au umtoe mtu roho ndo huwa sielewi...Sipendi kumtweza mtu au kumsifu mwingine. Nakuombea usijepatwa na jini linaitwa "wivu wa mapenzi"!
Wazazi wetu wanachangia sana kutuharibu na pengine kupelekea haya kutukuta. Ndugu zangu kumpa mwanao kila kitu hasa mahitaji ya kifedha sio jambo baya ila lazima uzingatie na mazingira aliyopo mfano mazingira ya masomo (kwa maana ya shule). Tujaribu kujenga mazingira ya kuwaonyesha watoto wetu kua utajiri na mali nyingi tulizonazo wazazi ni zetu na sio kwa ajili ya watoto hii ni pamoja na kubana matumizi yasiyokua ya lazima kwa watoto wetu hasa wanapokua shule, itasaidia kumfanya mtoto kujituma ktk masomo huku akiamini kua kwa kufanya hivyo atakuja kupata vyote hivyoA very good boy Shija was.