mtu kafa wewe unataka news gani
umbeyaaaaaaa unakusumbua ukishajua utafaidika na nini
mtu kafa wewe unataka news gani
umbeyaaaaaaa unakusumbua ukishajua utafaidika na nini
mtu kafa wewe unataka news gani
umbeyaaaaaaa unakusumbua ukishajua utafaidika na nini
Hivi siku hizi wanafunzi hawapangiwi mentors and carreer counsellor? Walikuwa watu muhimu sana kwa kuelekeza na kutia moyo.
Mh sijaona hiyo news...
Hivi siku hizi wanafunzi hawapangiwi mentors and carreer counsellor? Walikuwa watu muhimu sana kwa kuelekeza na kutia moyo.
Alikua mwaka wa tano muhimbili.?
Kuna taarifa kuwa kuna kijana alijaribu kujiua..na mpk jana alikua ICU.sasa amefariki..sababu ni stress zilizotokana na UE..mwenye news zaidi wadau
heading should read "an attempt to commit suicide"...
sasa mnasema kajiua mara yupo ICU.. Tuchukue lipi sasa???