Mwanafunzi mbishi.

Mwanafunzi mbishi.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(MWALIMU);Wanafunzi,nyangumi hawezi kummeza mwanadamu kwa sababu ana koo dogo sana. (MWANAFUNZI);Si kweli usemavyo,mbona tulisoma biblia YONA alimezwa na nyangumi? (MWALIMU);Mimi ndo mwalimu,nisikilize mimi!. (MWANAFUNZI);Nikienda mbinguni nitamuuliza YONA. (MWALIMU);Je kama YONA alienda kuzimu? (MWANAFUNZI);Utamuuliza wewe!
 
hahhahahahahhah!!!!!!!! mwalimu kakamatwa. huyo dogo ni kichwa sana
 
Mwalimu afanye ahame shule fasta hana hadhi tena, hapo ni uwanja wa huyo Dogo! Teh teh teh
 
He he heee..! Hapo ndipo anatakiwa adhibitishe ualimu wake. So creative, i lyk that
 
kama mi mwl namtia mboko huyo mwanafunzi kwani dah teh teh teh teh teh teh.................
 
Kama kuzimu utamuuliza wewe!!
duh dogo yuko juu sana mwl kabaki kinywa wazi!!
 
(MWALIMU);Wanafunzi,nyangumi hawezi kummeza mwanadamu kwa sababu ana koo dogo sana. (MWANAFUNZI);Si kweli usemavyo,mbona tulisoma biblia YONA alimezwa na nyangumi? (MWALIMU);Mimi ndo mwalimu,nisikilize mimi!. (MWANAFUNZI);Nikienda mbinguni nitamuuliza YONA. (MWALIMU);Je kama YONA alienda kuzimu? (MWANAFUNZI);Utamuuliza wewe!
Aku mwalimu hooi
 
Back
Top Bottom