Mwanafunzi katika mtihani

Mwanafunzi katika mtihani

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
908
Mwanafunzi mmoja baada ya kushindwa kujibu mtihani ikabidi afanye hivi kwenye maswali
///////////////////////////
Kisha akaandika "KWANGUA UTAONA MAJIBU"
 
hahaa, hiyo kali.,
i had a classmate who would form his own question.,for example,the question says,.account for the course and causes of the great trek..
if things wea tough,he would begin his essay like this,.
""before i acount for the course and causes of the great trek,let mi first discuss the origi of the ngoni.......""
 
Kama ningekuwa mwalimu wake ningemfanyia mpango kumpeleka maabara ku-test IQ yake...huyu dogo special aisee, dah.............
 
hahaa, hiyo kali.,
i had a classmate who would form his own question.,for example,the question says,.account for the course and causes of the great trek..
if things wea tough,he would begin his essay like this,.
""before i acount for the course and causes of the great trek,let mi first discuss the origi of the ngoni.......""

hahahaha...huyu alikua hayupo serious na maisha yake..
 
Mwingine kapewa swali,'women rights will never be completely attained,discuss! Jamaa kamgeukia mwanafunzi mwenzie ili wa discuss swali.
 
mwingine baada ya mwalimu kuandika swali 'without tables calculate the value of log10 +log225' basi dent akashuka kwenye kiti na meza yake

akakaa sakafuni na kuanza kukokotoa, wenzanzake walipo muuliza akasema anafuata instruction ya swali... wenzake wakasema mwalimu alimaanisha

mathematical tables!!!!!!!
 
hahahahaha! Huyo alikuwa kiboko, hataki shida kwenye kitu asichokijua!...lol.

Back
Top Bottom