Mwanafunzi ampiga mshale wa sumu mke wa mwalimu mkuu

Nitakua wamwisho kuamini hii STORIIIII time Will tell.
 
CJ1.jpg
 
Hii haiwezi kupata media coverage kubwa kama ile ya 'Green City'.
Ingekuwa ni mwalimu dhidi ya mwanafunzi ingevumishwa anga za mbali kufikia CNN, CCTV, Aljazeera, ...
Kuna mazingira duni ya kufundishia ambayo hata mnyama haishi (fuatilia Tafakari Time ya Haki Elimu kupitia ITV) ila hakunaga hata theluthi ya tamko.
Usaliti wa viongozi waliowahi kuwa waalimu kwa waalimu wa sasa, maamuzi ya mihemko, ...
Pole kwa waalimu na Elimu ya Bongo.
Samaki kumla Mtu ndiyo habari! NA siyo mtu kumla samaki.
 
hii ishu inakoelekea si kuzuri.
 
nadhani umeelewa sasa ...mbona haukanushi na kifo cha mke wa mwalimu
Nielewe basi wee, tukio ni la kweli ila sio la leo wala jana, ni la muda kidogo!
nilikuwa nakurekebisha hapo kwenye jina la wilaya basi na si vinginevyo!

alafu hiyo avator yako inanitia kichefu chefu nikiiona tafadhali usiniquote tena aisee SIIPENDI HIYO JUMA MAHARAGE!
 
Tanzania yangu weeeee, full masikitiko, huku walimu wanabonda, wanagunzi, huku wanafunzi wanafungua walimu ama wake zao
 
Mke wa Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kelema Balai aliyeuawa kwa kupigwa mshale wa sumu na kijana ambaye mpaka sasa ametoweka hapo kijijini kutokana na ugomvi ambao umedumu kwa muda mrefu kati ya mume wa marehemu na kijana huyo anayehisiwa kutenda unyama.

Imesemekana mtuhumiwa akiwa na wenzake wawili siku ya tukio majira ya saa mbili na nusu usiku walivamia nyumbani kwa marehemu na kuanza kumshambulia kwa fimbo mume wa marehemu na kukimbizwa hospital ya jirani kabla muhisiwa hajarejea na kutekeleza unyama huo.

Mpaka sasa watu watatu wanashikiliwa na Polisi ambao ni baba wa kijana huyo kwa kuwa alishiriki katika tukio la awali la kumjeruhi Mwalimu Manyama kwa kushirikiana na kijana wake kumjeruhi kwa fimbo.

(Mwl Manyama ndiye mume wa marehemu) Watu wengine ni Mwenyekiti wa Kijiji pamoja na Mtendaji wa Kijiji. Hawa wanashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Wilaya baada ya maelezo yao waliyoyatoa kuhusiana na namna walivyoshughulikia tukio hili kuanzia usiku mpaka asubuhi kuto mridhisha Mkuu wa Wilaya. Kwani toka usiku wa tarehe 3 mpaka saa tatu wahisiwa walikuwepo kijijini kabla ya kutoweka na Viongozi hao hwakuwa wamechukua hatua zozote.
Hii habari ingekuwa kinyume chake sasa hivi unhesikia matamko lakin kwa hivi ilivyo wengi watapita tu bila kuchangia chochote POLE MWALIMU WA TANZANIA.
 
Simbachawene naomba umpandishe cheo uyu mwalimu aliyempoteza mke wake kipenzi kwa maana kule mbeya umemshusha cheo mwalimu mkuu
Hato thubutu hata siku moja nadhani ingekuwa kinyume chake, na hii habari hata magazetini sidhan kama itapatikana maana utadhani nao wana chuki na mwalimu maana vyombo vya habari vimeipaisha na kuikuza sana habari ya mbeya

POLE MWALIMU WA TANZANIA.
 
Mke wa Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kelema Balai aliyeuawa kwa kupigwa mshale wa sumu na kijana ambaye mpaka sasa ametoweka hapo kijijini kutokana na ugomvi ambao umedumu kwa muda mrefu kati ya mume wa marehemu na kijana huyo anayehisiwa kutenda unyama.

Imesemekana mtuhumiwa akiwa na wenzake wawili siku ya tukio majira ya saa mbili na nusu usiku walivamia nyumbani kwa marehemu na kuanza kumshambulia kwa fimbo mume wa marehemu na kukimbizwa hospital ya jirani kabla muhisiwa hajarejea na kutekeleza unyama huo.

Mpaka sasa watu watatu wanashikiliwa na Polisi ambao ni baba wa kijana huyo kwa kuwa alishiriki katika tukio la awali la kumjeruhi Mwalimu Manyama kwa kushirikiana na kijana wake kumjeruhi kwa fimbo.

(Mwl Manyama ndiye mume wa marehemu) Watu wengine ni Mwenyekiti wa Kijiji pamoja na Mtendaji wa Kijiji. Hawa wanashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Wilaya baada ya maelezo yao waliyoyatoa kuhusiana na namna walivyoshughulikia tukio hili kuanzia usiku mpaka asubuhi kuto mridhisha Mkuu wa Wilaya. Kwani toka usiku wa tarehe 3 mpaka saa tatu wahisiwa walikuwepo kijijini kabla ya kutoweka na Viongozi hao hwakuwa wamechukua hatua zozote.
We Michael ondoa haraka picha ya Mh Rais wa Jamhuri kabla hayajakukuta!
 
Back
Top Bottom