Mwanafunzi ampiga mshale wa sumu mke wa mwalimu mkuu

Mwanafunzi ampiga mshale wa sumu mke wa mwalimu mkuu

[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] walimu na wanafunzi wAnafanyiziana
 
Simbachawene naomba umpandishe cheo uyu mwalimu aliyempoteza mke wake kipenzi kwa maana kule mbeya umemshusha cheo mwalimu mkuu
Ila hutomsikia mtoa tamko yeyote hapa kati wale watatu
 
Mara watu watatu..mara mwanafunzi...si mseme ni wa shule gani na majina yake. Au mmetumwa kubalance story
 
Ni vita kati ya walimu na wanafunzi, mitandao ya kijamii wanafunzi wanaponda walimu na walimu wanaponda wanafunzi, mtaani wanafanyiziana

Ila chanzo cha hii habari ni ni? usije ukakuta imepikwa kwa ajili ya hii habari ya walimu kupiga wanafunzi Mbeya
Hii inaweza ikawa imepikwa kwanini haikusikika kabla ya tukio la Mbeya! Hapo tayari kuna chuki zinapandwa baina ya walimu na wanafunzi hii vita itakuwa mbaya sana kwa taifa!

Elimu ya Tanzania inazikwa hili tatizo lisipo fumbiwa macho!
 
naona kuna vita baridi kati ya walimu na wanafunzi



anyway tuko hili litaibua meng
 
Hii haiwezi kupata media coverage kubwa kama ile ya 'Green City'.
Ingekuwa ni mwalimu dhidi ya mwanafunzi ingevumishwa anga za mbali kufikia CNN, CCTV, Aljazeera, ...
Kuna mazingira duni ya kufundishia ambayo hata mnyama haishi (fuatilia Tafakari Time ya Haki Elimu kupitia ITV) ila hakunaga hata theluthi ya tamko.
Usaliti wa viongozi waliowahi kuwa waalimu kwa waalimu wa sasa, maamuzi ya mihemko, ...
Pole kwa waalimu na Elimu ya Bongo.
 
Mke wa Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kelema Balai aliyeuawa kwa kupigwa mshale wa sumu na kijana ambaye mpaka sasa ametoweka hapo kijijini kutokana na ugomvi ambao umedumu kwa muda mrefu kati ya mume wa marehemu na kijana huyo anayehisiwa kutenda unyama.

Imesemekana mtuhumiwa akiwa na wenzake wawili siku ya tukio majira ya saa mbili na nusu usiku walivamia nyumbani kwa marehemu na kuanza kumshambulia kwa fimbo mume wa marehemu na kukimbizwa hospital ya jirani kabla muhisiwa hajarejea na kutekeleza unyama huo.

Mpaka sasa watu watatu wanashikiliwa na Polisi ambao ni baba wa kijana huyo kwa kuwa alishiriki katika tukio la awali la kumjeruhi Mwalimu Manyama kwa kushirikiana na kijana wake kumjeruhi kwa fimbo.

(Mwl Manyama ndiye mume wa marehemu) Watu wengine ni Mwenyekiti wa Kijiji pamoja na Mtendaji wa Kijiji. Hawa wanashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Wilaya baada ya maelezo yao waliyoyatoa kuhusiana na namna walivyoshughulikia tukio hili kuanzia usiku mpaka asubuhi kuto mridhisha Mkuu wa Wilaya. Kwani toka usiku wa tarehe 3 mpaka saa tatu wahisiwa walikuwepo kijijini kabla ya kutoweka na Viongozi hao hwakuwa wamechukua hatua zozote.
ni kijiji gan icho kaka....tupe source ya iyo habar bas...
 
wanafunzi wanawashika hadi makalio walimu wa kike
 
Simbachawene naomba umpandishe cheo uyu mwalimu aliyempoteza mke wake kipenzi kwa maana kule mbeya umemshusha cheo mwalimu mkuu
hapo tutakuwa tunakomoana sasa
 
Back
Top Bottom