Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,280
Unauhakika?Mmh so sad "
Hapo kuna mamna sio bure " Kuna mtu itakuwa Yupo nyuma ya mauaji hayo .kisha ana frame hiyo miili iliionekane kuwa marehemu walijinyonga " ..... police waupeleke huo mwili hospital ukafanyiwe postmortem
BTW ---Haya ni maoni yangu tu na wala sio sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
sidhan.kama ndo ustaarabu huo jaman...kwann asiachiwe tu baba mlezi amzike ..mtu umemuacha toka ana miaka 2 leo unataka ukamzikebaba mlezi atumie busara.wakamzike
pamoja upande wa baba mzazi
i
aliachana na mama sio mtoto.ugomvi wa wazazi unaathiri watoto sanasidhan.kama ndo ustaarabu huo jaman...kwann asiachiwe tu baba mlezi amzike ..mtu umemuacha toka ana miaka 2 leo unataka ukamzike
Hapo sasa mkuu, hata wakienda mbele nazani uongozi unaweza kumpa haki baba mlezi. Unashindwa kumsamini mwanao akiwa hai unakuja kuthamini mwili wake!sidhan.kama ndo ustaarabu huo jaman...kwann asiachiwe tu baba mlezi amzike ..mtu umemuacha toka ana miaka 2 leo unataka ukamzike
Labda akili yangu ni finyu,binafsi siwezi kugombea maiti...hakuna ardhi isiyozika!sidhan.kama ndo ustaarabu huo jaman...kwann asiachiwe tu baba mlezi amzike ..mtu umemuacha toka ana miaka 2 leo unataka ukamzike
serial murder.labda kafara.ilo dawati waliokalia la kuogopa kama ukomaMmh so sad "
Hapo kuna mamna sio bure " Kuna mtu itakuwa Yupo nyuma ya mauaji hayo .kisha ana frame hiyo miili iliionekane kuwa marehemu walijinyonga "
.Au la basi hao watoto itakuwa waliathirika ki-psychology kutokana na baadhi ya matukio yenye mfanano na tukio ambalo wamelifanya " ila inastaajabisha sana kuona watoto wenye makamo hayo kuweza kufikia maamuzi ya kujiua tena kwa kujinyonga " Hii inaleta mashaka kwakweli "
police waupeleke huo mwili hospital ukafanyiwe postmortem
BTW ---Haya ni maoni yangu tu na wala sio sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli ...tena linapaswa kuhamishwa na kupelekwa police kwaajili ya uchunguzi wa kina ... ingekuwa ni nchi za wenzetu hata hilo darasa pia lingefungwa kwa muda ili kupisha investigationserial murder.labda kafara.ilo dawati waliokalia la kuogopa kama ukoma
umejuaje alikua akimudumia akiwa uko uko kwa baba mleziHapo sasa mkuu, hata wakienda mbele nazani uongozi unaweza kumpa haki baba mlezi. Unashindwa kumsamini mwanao akiwa hai unakuja kuthamini mwili wake!
Ni sawa kabisa na wale wasiosaidia chochote mtu awapo ngonjwa anakosa hata usafili wa kwenda hospital ila akifa utaona kuna ndg yake kahitolea kumchongea jeneza la milioni, mwingine suti ya laki3, mwingine anajitolea magari yake mawili yabebe waombolezaji. Mwingine atajitolea kuulisha msiba!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana nimeenda kuzika mamaangu mkubwa Kyela, ilikuwa ni aibu,walio nisindikiza walishangaa sana.Tabia za watani zangu wanyakyusa kugombabia maiti
Waga wananunua maiti hata kwa kulipia ng'ombe ati wakazike
Sikunyingine ungewataarifu mapema waelewe kyela hawajawahi zika mtu kimya kimya bila kadhia ya kugombea maitiMwaka jana nimeenda kuzika mamaangu mkubwa Kyela, ilikuwa ni aibu,walio nisindikiza walishangaa sana.
Hakuna mwanaume anaeweza kufanya mkuu. Kwamba utume matumiz ya mtoto anaeishi kwa mwanaume nwenzio tena mwenye watoto wengine!! Hata kama hana watoto wengine wivu lazima uwepo tu na uhakika wa kwamba matumizi yanamfikia mtoto ni mdogo sana. Unaweza kutuma laki moja mtoto asipate hata mia! Unaweza kutuma nguo pea tano mwanao akapewa pea moja halafu hizo nne zilizobaki wabapewa watoto wengine.umejuaje alikua akimudumia akiwa uko uko kwa baba mlezi
mpumbavu ni mamaako na babaako kuzaa mpumbavu mwenzao Kama wao Badala ya kuzaa mkate wale washibe wakalime.