Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Fanya kilichokuhamishia hapo..kama ni hela haya kama ni mapenzi haya.

YOLO
 
huna mapenzi yoyote kwa huyo mama umefwata pesa............vijana wenye tabia kama zako mnapenda kulelewa
 
Hapana, mapenz hayajarishi umri. uhamie Kwa bibi babu,
Mnaishi dunia ipi nyie. Ningekua huyo ningekua nani okay Kuwa basi. What next!?
 
Hakuna mwenye mahauzi na pesa za huyo, mama
Yeye ndo mwenye maamuzi nazo.
 
Huyo wa chuo mwenzie, umri ataolewa mapema sana
Asipoangalia
 
Kweli hata ile elimu elimu elimu hapa isingefaa!!
 
Yan Ngoja nipite 2 maana naweza nikaandika ukajikuta hosptal bure 2.
 
hata kama mapenzi ungekuja kwa mama yangu mimi ningekutafutia wahuni wakufire
 
Kama haujaenda kutaka kuchukua malibza mama yake badi isikuume na uzoeee na kuwaheshimu pia.

Kumbuka ni mtoto wa kiume na mali ji za mama yake.

Na biashara yote hiyo umeoshia kulelewa na mwanamke kwani wewe ulikuwa hauna gari yako?

Inaelekea imeenda kufata mali, bora uwaache waishi kwa amani uwe unatembeleana na mama yao
Mimi ningeshakutimua kabisa.

Na watakusoma humu

Unataka kuamkiwa wakati wewe haujajiheshimu umrfata matunzo. Basi mama yao akikupa pesa wape watoto uje ujibu kama una roho nzuri
 
Wewe si bure umelogwa, ujasiri huo umeupata wapi? Au fedha ndio zimikuvuta? Naamini unam beep is lael akupigie ktk ya barabara. Jiandae kupoteza uhai. Fedha hazitafutwi kwa njia ya mtelemko

Amerogwa au amemroga mama wa watu. Weee umeambiwa kamfanyia herbal concoction halafu unashangaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…