Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?


Hebu niPM no ya mama yako
 

Halafu unapishana naye anakwenda bafuni na mama yako huku kavaa kitaulo mama yako kikanga mpaka kwapani
 

Halafu unapishana naye anakwenda bafuni na mama yako huku kavaa kitaulo mama yako kikanga mpaka kwapani
 
Hata kuzaa huyo mama nadhani mayai yameshaisha au hutaki watoto unataka pesa au unamchuna kwanza alafu uje kumtosa?????
 
Hebu niPM no ya mama yako

Hajakutaka, na mimi sijawahi kuwa dalali wa ndugu yangu yeyote. Ila nakuPM ya kwangu, tunaweza kufanya biashara pamoja maana inaonekana huko kwenu mmezoea hii michezo.
 
Ha ha ha unataka ufanye kama sheikh yasin



Aaah qummmamae unakarusha teke kakaanguke huko na taulo lake

Watoto wadogo mnakuwa na vivu na mama zenu, mngeishi Ulaya ambako baba ruksa kuolewa si mngekufa kusikia baba anarukwa na kijana wa makamo yako?
 
Watoto wadogo mnakuwa na vivu na mama zenu, mngeishi Ulaya ambako baba ruksa kuolewa si mngekufa kusikia baba anarukwa na kijana wa makamo yako?

Ndo maana Mungu katuacha hapa hapa bongo make anajua huko ulaya tusingestahimili
 
Ndo maana Mungu katuacha hapa hapa bongo make anajua huko ulaya tusingestahimili

Na ndio maana hapa Bongo mama zetu wanaruka na vijana, wazee wetu wanaruka na mabinti na 'Tike Mboka', shari ulete wewe tu...
 
Kuna mwingine nae jina yake in a anza na Sheikh wa huko huko Mwanza, nae alimlaghai kimapenzi mama mtu mzima almost 60 yrs of age, mama wa watu ana watoto wakubwa tu wengine washaolewa but akakolea kwa jamaa mdogo tu sikufahamu umri wake, mama alikua na Scania za kufanya import and export trade kwa barabara gari zote kumi sasa hana, pharmacy kubwa nne dar Mwanza Arusha and Zanzibar zote chali, supermarket nne now imebaki moja tu!! Nyumba kadhaa (sijui idadi kamili) but mbili nazofahamu jamaa alipiga bei mama now ana nyumba moja tu na gari ya kutembelea hana!

Hii yote ni kwa sababu mama alimuamini zaidi huyo jamaa na kuwadharau wanae na jamaa nae alikua akimwendea mama kwa sangoma mama akaingia mkenge kweli akabadili majina ya biashara zake zote na kuandika majina ya jamaa coz jamaa alimshawishi eti yeye mama abaki home tu ale maisha jamaa yeye atahangaikia biashara!!

Mpo wengi wa aina yenu kila mmoja na style yake ya Umarioo! Kumbukeni na nyie mna wazazi wa kike!!
 

Sio kesi ya umri hiyo. Ni suala la uhuni na kuaminiana kupita kiasi...
 
huyu shetani wa mbali kumbe umeanzia huku?
kuvuruga watoto wa watu nahsi umewaloga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…