Of course the conservation of mass/energy forbids the creation / destroying of energy in a closed system.
From the efficiency point of view there is a loss of energy involved in the change of energy from one form to another.
Maji yakibadilika kwenda barafu inabidi energy itumike, ndo maana friji linatumia umeme.
Mbao ikibadilika kuwa majivu moto unatumika.Energy nyingine ina escape kuwa gases etc. So you cannot contain this process and make it perfect.
This is why you cannot have a self perpetuating machine.
Bado huwezi kuwa na a perfectly efficient system, mtu yeyote mwenye knowledge ndogo tu ya physics anajua hilo.
Eiyer I believe Yesu alifufua kwa mamlaka ya aliyeumba, so automatically uki-apply transitive theory hapo anayefufua anakuwa yule aliyeumba. Kuhusu wewe kuweza kufufua unaonaje ukifafanua kama kweli ni jambo rahisi (kwa faida yangu na wengine) kuliko kuwa cryptic kama unavyofanya sasa.mjasiria,siwezi kuanzisha mada nyingine inayozungumzia aliyoyafanya Yesu na aliyafanya kwaajili ya nani na kwanini,kama unaweza sema hapa.Uliposema ni jambo rahisi kwa alieumba mtu kumfufua,do u believe Yesu aliumba(i know u don't)Pili,kama unadhani mimi nitaona ajabu wewe ukimfufua mtu,utakua umekosea sana,najua inawezekana uena kwa neno dogo tu,kwa asiejua ni ajabu na haiwezekani!
Lakini mimi nimekuwa makanyaga tangu JF ianze mpaka leo. how do you argue about such efficiency? naona kumbe tunaongelea kitu kimoja, wewe uko katika micro, mimi kwenye macro. Samahani kwa kushindwa kukuelewa. However any system is perfectly efficient at macro level!
Mimi nimetumia theory unayoiamini wewe kukuonesha udhaifu wako. Kwa kifupi ni kuwa nimesema kuwa inawezekana hufikii hiyo 10% assuming kuwa hiyo theory ni fact (of which it is not, lakini kwa kuwa wewe unaikubali well then ngoja tuitumie katika hili).
Natumaini umenisoma mkuu. Tuendelee kuongea hoja zenye msingi, tutafika tu Mungu (hapa ni according to my belief) akipenda
Jesus nimemtaja wapi hapo juu?
Umenipa kazi ya kurudia posts zangu zote nitafute wapi nilipomtaja Jesus, sijapaona.
Far from kuwa perfect, kuna wengine wame argue kwamba Jesus never existed at all, he is a fictional character and at best a mish mash of fact and fiction.
Nipe mfano wa system moja iliyo perfectly efficient at macro level.
Wewe Makanyaga ungekuwa perfectly efficient usingekula wala kunya (ashakum si matusi)
Kunya - the production of waste products- ni mfano wa an inefficient system.
Na hata kama unaongelea the character hapa JF, nayo ishaproduce waste products barazani mara kibao mpaka tumefunga pua zetu hapa 🙂

Hiyo 10% inapimwa kwa vigezo vipi?
Mkuu Eiyer nilikuwa nakula sikukuu kwanza, anyway kama bado uko interested na hii argument tunaweza kuendelea. Naposema Mungu hafanyi hivyo kila siku, well sijui kama unaweza kunipa tukio lolote la kufufuana kabla ya Yesu na baada yake.mjasiria,inaonekana labda wewe na mimi tunazungumzia watu wawili tofauti.Nasema hayo kwa sababu ulivyosema aliyofanya Yesu alifanya pale Mungu alipomruhusu na Mungu haamui hivyo mara kwa mara.Kwanza tangu lini umekua msemaji wa Mungu?Pili,Yesu aliwaambia wanafunzi wake "na isha hizi zitafuatana nao waaminio,watanena kwa lugha mpya,watatoa pepo,watawawekea mikono wagonjwa watapata afya.... . . ."sasa hayo unayosema hayawezekani leo sijui ni kwa mujibu wa nani?Kuhusu mada nyingine unaonaje ukiiweka wewe?
Nipe mfano wa system moja iliyo perfectly efficient at macro level.
Wewe Makanyaga ungekuwa perfectly efficient usingekula wala kunya (ashakum si matusi)
Kunya - the production of waste products- ni mfano wa an inefficient system.
Na hata kama unaongelea the character hapa JF, nayo ishaproduce waste products barazani mara kibao mpaka tumefunga pua zetu hapa 🙂
Kwa nini kitendo hicho kisiwe upande wa efficiency? What is the rule? What is the effect to the system in case of its malfunctioning, negative or positive? If positive, whey then the action be associated with inefficiency? Kwa nini isiwe kutokunya ndiyo inefficiency?