ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Forever Himidini?sidhani kama ni uchaguzi mzuri huo kaka utakuwa mpweke sana!
Mpaka atakapopatikana na awe na ufunguo sahihi wa kuufungua huu moyo ulotiwa komeo :smile-big:
Mpaka atakapopatikana na awe na ufunguo sahihi wa kuufungua huu moyo ulotiwa komeo :smile-big:
Ninae rafiki lkn siku zote mtu unafikiri huyu rafiki ana kila dalili ya kuwa na ufunguo wa moyo wangu wakati mwenzako hata hayupo huko kabisaaaa....^^
Kuchanua kwa moyo wako na kuinuka kwa nuru yako ya mapenzi,ndio kutaleta ufunguo sahihi.
Urafiki usio na hila ndio utakufanya ujue ufunguo wenyewe,je huna rafiki/marafiki wenye dalili hizo?
^^
Ninae rafiki lkn siku zote mtu unafikiri huyu rafiki ana kila dalili ya kuwa na ufunguo wa moyo wangu wakati mwenzako hata hayupo huko kabisaaaa....
Na vipi kuhusu ule usemi kwamba ukisubiri sana ndio unatupwa kwenye friends zone?Subiri subiri sana unakuta mwana si wako loh...^^
Loo! Pole,ila unatakiwa uwe na subira sana ikiwa ni ivo,,mwenzio sina wa kusubiri,naopaswa kuwasindikiza kwenda wanakoenda wameenda..keep waiting mimi49
^^
Na vipi kuhusu ule usemi kwamba ukisubiri sana ndio unatupwa kwenye friends zone?Subiri subiri sana unakuta mwana si wako loh...