Mwanadamu aliumbwaje? I just want to know

Muhammadi amefundishwa na Malaika Jibril(Sio maneno yake mkuu!!)...Jibril alipewa ujumbe huu na Mwenyezi Mungu... aulete kwa Muhammad na Muhammad aulete kwa walimwengu...Ndio kazi ya Mitume mkuu! na hii ndo neema ya Mwenyezi Mungu kutuletea Mtume huyu....3:164to top

3_164.png
Sahih International
Certainly did Allah confer [great] favor upon the believers when He sent among them a Messenger from themselves, reciting to them His verses and purifying them and teaching them the Book and wisdom, although they had been before in manifest error.

Swahili
Hakika Mwenyezi Mungu amewafanyia wema mkubwa Waumini vile alivyo waletea Mtume aliye miongoni mwao wenyewe, anaye wasomea Aya zake, na anawatakasa, na anawafunza Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya hapo walikuwa katika upotovu ulio wazi.


Mbona sasa kama kaletwa na Mungu, hajui hatima yake, na wafuasi wake?

'The Prophet said, '''By Allah, though I am the Apostle of Allah, yet I do not know what Allah will do to me''' (Hadith vol. 5, no. 266)

Qur'an 46:9 Say, "I am not something original among the messengers, nor do I know what will be done with me or with you. I only follow that which is revealed to me, and I am not but a clear warner."To be forgiven sin

Hapa anaonekana kumkubali Yesu kuwa ndio "Alama ya Nyakati " lakini anasema nifuateni tu hivyohivyo kigumu
Sura 43:61

He is a Sign of the Hour. Have no doubt about it. But follow me. This is a straight path
 
Muhammadi amefundishwa na Malaika Jibril(Sio maneno yake mkuu!!)...Jibril alipewa ujumbe huu na Mwenyezi Mungu... aulete kwa Muhammad na Muhammad aulete kwa walimwengu...Ndio kazi ya Mitume mkuu! na hii ndo neema ya Mwenyezi Mungu kutuletea Mtume huyu....3:164to top

3_164.png
Sahih International
Certainly did Allah confer [great] favor upon the believers when He sent among them a Messenger from themselves, reciting to them His verses and purifying them and teaching them the Book and wisdom, although they had been before in manifest error.

Swahili
Hakika Mwenyezi Mungu amewafanyia wema mkubwa Waumini vile alivyo waletea Mtume aliye miongoni mwao wenyewe, anaye wasomea Aya zake, na anawatakasa, na anawafunza Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya hapo walikuwa katika upotovu ulio wazi.


Bado hajulikani nani alimletea hayo maneno?.
Ingawa wakati huo tayari Bible ilikuweko. Pia Wakati ule papa alikuwepo, ni rahisi kutazamia hasa agano la kale

Malaika au Roho mtakatifu?

Holy spirit Qur'an 16:102

Say, the Holy Spirit has brought the revelation from thy Lord in Truth, in order to strengthen those who believe, and as a Guide and Glad Tidings to Muslims

Angel jibreel Qur'an 2:97

Say (O Muhammad, to mankind): Who is an enemy to Gabriel! For he it is who hath revealed (this Scripture) to thy heart by Allah's leave, confirming that which was (revealed) before it, and a guidance and glad tidings to believers;
 
BIBLIA INAMAJIBU yakoooo closethread
hauwezi ukapata jibu la kisayansi ndani ya Biblia coz ni elimu ya ukariri (dogma) kama unategemea maneno ya hapo mwanzo....Mungu kashalisema hilo ndani ya qur-an pia. Ila hauwezi ukafiri na kumjua km hatathibitsha kisayansi ilivyokuwa ili kujenga imani na kumkuli.
 
Uislam hauna miungo mitatu km unavyoamini ww, hivyo ukachukua neno roho matakatifu ukalileta unavyoamini ww (mungu roho), utaonesha hujitambui n huna hoja, ungetafuta km msomi kw waislam wanamaanisha nn wanpsema Roho matakatifu lakini huna kitu unaenda ki dogma!! Neno Roho mtakatifu uislam unamaanisha Jibril ambaye ni mleta wahyi (ufunuo) kutoka kw Mungu. Na Jibril ni malaika ss wapi kunosa gani kama tayari anajulikana km mmoja w malaika ukitumia jina lolote?
 
Mkuu naomba unitajie vitabu vinne au vitatu unavyovijua Mwenyezi Mungu alivileta kwa Mitume wake...nitajie na Mitume hio...Suali jengine ni kwamba panapotajwa Holy Spirit unafahamu nini?
 
Muhammadi amefundishwa na Malaika Jibril(Sio maneno yake mkuu!!)...Jibril alipewa ujumbe huu na Mwenyezi Mungu... aulete kwa Muhammad na Muhammad aulete kwa walimwengu...Ndio kazi ya Mitume mkuu! na hii ndo neema ya Mwenyezi Mungu kutuletea Mtume huyu....3:164to top

3_164.png
Sahih International
Certainly did Allah confer [great] favor upon the believers when He sent among them a Messenger from themselves, reciting to them His verses and purifying them and teaching them the Book and wisdom, although they had been before in manifest error.

Swahili
Hakika Mwenyezi Mungu amewafanyia wema mkubwa Waumini vile alivyo waletea Mtume aliye miongoni mwao wenyewe, anaye wasomea Aya zake, na anawatakasa, na anawafunza Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya hapo walikuwa katika upotovu ulio wazi.


Nimekupata vizuri mkuu, nilitaka ku verify hizi taarifa manake kuna rafiki yangu daktari alisilim a while ago naona taarifa zake na zako zina match, asema ndio kitabu pekee cha ufunuo kisichokuwa tempered hata herufi moja tokea kishuke zaidi ya 1400 yrs. na kimeongelea mambo ya kiroho, science , geography,etc na asema haijawahi kuwa challenged, namuuliza itawezekanaje taarifa zake ziwe valid up until now ? yaani iweze kukidhi mahitaji ya mwanadam yanayobadilika siku hadi siku ? Maana hata constitution ya nchi inakuwa updated time to time ? nashindwa kumuelewa asema hata yeye akisoma anaona details zilizomo hazija expire...hebu mkuu LBG nipe hilo darasa hii kitu inakuwaje..?
 
Za Asubuhi mkuu..inaonyesha Aya 9 ya Surat Kahfi(46) hukuilewa au umeitumia kwa upotoshaji..wacha tukukuwekee ay za Nyuma yake ili Darsa ipate kueleweka vizuri..46:7to top

46_7.png
Sahih International
And when Our verses are recited to them as clear evidences, those who disbelieve say of the truth when it has come to them, "This is obvious magic."

Swahili
Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi, walio kufuru husema juu ya haki inapo wajia: Huu ni uchawi dhaahiri.
Hii ndo kawaida ya watu wasio amini wakisomewa aya wakikuta kuna ukweli..baada ya kukosa hoja ya kuukimbia ukweli huo humsingizia Mtume kua Mchawi. Mfano wa hii Sayansi ya uumbaji iliomo kwenye Qur-ani..Wanasayansi wa leo wanaamini Kua Muhammad haiwezekani kwa wakati wake kuweza kujua ilimu ya Embryology kwa vile hakua na kifaa chochote cha kisayansi...



46:8to top

46_8.png
Sahih International
Or do they say, "He has invented it?" Say, "If I have invented it, you will not possess for me [the power of protection] from Allah at all. He is most knowing of that in which you are involved. Sufficient is He as Witness between me and you, and He is the Forgiving the Merciful."

Swahili
Au wanasema: Ameizua mwenyewe! Sema: Ikiwa nimeizua mimi, basi nyinyi hamwezi kunifaa chochote mbele ya Mwenyezi Mungu. Yeye anajua zaidi hayo mnayo ropokwa; anatosha kuwa shahidi baina yangu na nyinyi. Na Yeye ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Hapa Mwenyezi Mungu anaelezea hali ya baadhi ya watu wanaposomewa aya...husema haya maneno ya kutunga....Ndo Mwenyezi hapo chini anamtaka Mtume wake awajibu kwa hio aya ambayo wewe umequote.46:9to top

46_9.png
Sahih International
Say, "I am not something original among the messengers, nor do I know what will be done with me or with you. I only follow that which is revealed to me, and I am not but a clear warner."

Swahili
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.

Anaposema kua mimi si "Kiroja"=something original hapa panaanisha kua mimi sio source wa hizo information....na yeye Mtume hajui hata nini kitamtokezea kesho yake au hata baada ya Kufa...kilichokusudiwa hapa ni kuonyesha kuwa yeye ni binadamu na kiumbe..wala hawezi kuwapa kuwapa maajabu ambayo ataamua kuyafanya yeye mwenyewe...bila ya kupewa na Mwenyezi Mungu.....Mitume wanajua hatma zao kwani wamesha ahidiwa na Mwenyezi Mungu...ila hapa yalikua ni mahojiano baina yake Mtume na watu waliokua wajinga kumpa masharti makubwa Mtume ili wapate kuamini...




 
Mungu yuko mmoja ila kuumba hata wewe unaweza uka create aina ya Piki piki na ukaiita Gambamala..lakini hutoweza kuumba kiumbe chenye roho hata mfano wa sisimizi...Mwenyezi Mungu anajua kua akili aliompa mwanadamu anaweza kuumba ndege itakayoruka bila rubani...lakini hatoweza kuumba kiumbe chenye roho ata siku moja.....
 
Mkuu kwanza nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa udhaifu wangu wa kielimu kuweza kutoa darsa ilioleta manufaa..

Hapa ndo utaona kua Muhammad sie alietoa information hivyo mkuu...Kwanza utume wake ulikua miaka 23...si rahisi kwa mtu 1..aweze kufanya research ya Faculties zote izo kwa miaka 23.(Biology,Geology,Marine science,Astronomy etc.)




25:53to top

25_53.png
Sahih International
And it is He who has released [simultaneously] the two seas, one fresh and sweet and one salty and bitter, and He placed between them a barrier and prohibiting partition.

Swahili
Naye ndiye aliye zipeleka bahari mbili, hii tamu mno, na hii ya chumvi chungu. Na akaweka baina yao kinga na kizuizi kizuiacho.



...Kwa ufupi mkuu Mwenyezi Mungu ndie alietaka kukilinda kitabu hiki..kwani Kaumu zilizopita...watu wake walikua ni wajanja wa kubadilisha maneno ya vitabu hivyo...Pia mkuu nikuulize kitu kimoja..kuna kitabu gani ulichowahi kusoma ambae mtunzi wake amesema hakina makosa? Kur-ani imesema wazi haina makosa na watu wameshindwa kutoa makosa...zaidi ya kubadilisha ufahamu wake ili yapatikane makosa...

Kwa hio Qur-ani ina ulinzi wa Allah na wala hakuna atakaeiweza kuitia mkono...akitia mkono tu mtu wenyewe wanakuja na wanaihami...Wache nikutembeze surat Hijri aya ya mwanzo mpaka ya 10 utapata khabari ya ulinzi huu..

[h=1]Surat Al-Ĥijr (The Rocky Tract) - [FONT=me_quran]سورة الحجر[/h]
textEnlargeActive.gif

textShrinkInactive.gif

textSize.gif
[/FONT]


[FONT=me_quran]بسم الله الرحمن الرحيم[/FONT]
15:1to top

15_1.png
Sahih International
Alif, Lam, Ra. These are the verses of the Book and a clear Qur'an.

Swahili
Alif Lam Ra. (A.L.R). Hizi ni Aya za Kitabu na Qur'ani inayo bainisha.


15:2to top

15_2.png
Sahih International
Perhaps those who disbelieve will wish that they had been Muslims.

Swahili
HUENDA ikawa walio kufuru wakatamani wange kuwa Waislamu.


15:3to top

15_3.png
Sahih International
Let them eat and enjoy themselves and be diverted by [false] hope, for they are going to know.

Swahili
Waache wale, na wastarehe, na iwazuge tamaa. Watakuja jua.


15:4to top

15_4.png
Sahih International
And We did not destroy any city but that for it was a known decree.

Swahili
Na hatukuuangamiza mji wowote ule ila ulikuwa na muda wake maalumu.


15:5to top

15_5.png
Sahih International
No nation will precede its term, nor will they remain thereafter.

Swahili
Hawawezi watu wowote kuitangulia ajali yao, wala kuchelewa.


15:6to top

15_6.png
Sahih International
And they say,"O you upon whom the message has been sent down, indeed you are mad.

Swahili
Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.


15:7to top

15_7.png
Sahih International
Why do you not bring us the angels, if you should be among the truthful?"

Swahili
Mbona hutuletei Malaika ikiwa wewe ni miongoni mwa wasemao kweli?


15:8to top

15_8.png
Sahih International
We do not send down the angels except with truth; and the disbelievers would not then be reprieved.

Swahili
Sisi hatuwateremshi Malaika ila kwa sababu ya haki, na hapo hawatapewa muhula.


15:9to top

15_9.png
Sahih International
Indeed, it is We who sent down the Qur'an and indeed, We will be its guardian.

Swahili
Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu, na hakika Sisi ndio tutao ulinda.


15:10to top

15_10.png
Sahih International
And We had certainly sent [messengers] before you, [O Muhammad], among the sects of the former peoples.

Swahili
Na hakika tulikwisha watumia Mitume mataifa ya mwanzo.


 
Kutokana na sperm/mbegu za uzazi
Qur'an 16:4
He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer!

Binadamu kaumbwa kwa udongo

Qur'an 15:26
We created man from sounding clay, from mud moulded into shape;
Kaumbwa kwa vumbi
Qur'an 3:59
The similitude of Jesus before Allah is as that of Adam; He created him from dust, then said to him: "Be". And he was.

Binadamu katoka kusikojulikana
Qur'an 19:67
But does not man call to mind that We created him before out of nothing?



Kutokana na damu iliyoganda
Qur'an 96:2

Created man, out of a (mere) clot of congealed blood:
Kutokana na maji
Qur'an 21:30

Kutokana na maji

Qur'an 21:30

Do not the Unbelievers see that the heavens and the earth were joined together (as one unit of creation), before we clove them asunder? We made from water every living thing. Will they not then believe?


Kwaiyo?
 
Who was at the
Empty Tomb? Is it:

MAT 28:1 In the
end of the
sabbath, as it
began to dawn
toward the first
day of the week, came Mary
Magdalene and
the other Mary to
see the
sepulchre.

MAR 16:1 And
when the
sabbath was
past, Mary
Magdalene, and
Mary the mother of James, and
Salome, had
bought sweet
spices, that they
might come and
anoint him.

JOH 20:1 The first
day of the week
cometh Mary
Magdalene early,
when it was yet
dark, unto the sepulchre, and
seeth the stone
taken away
from the
sepulchre.
 
Is Jesus equal to or
lesser than?

JOH 10:30 I and
my Father are
one.

JOH 14:28 Ye
have heard how
I said unto you, I
go away, and
come again unto
you. If ye loved me, ye would
rejoice, because
I said, I go unto
the Father: for
my Father is
greater than I.
 
Which first--beasts
or man?

GEN 1:25 And
God made the
beast of the
earth after his
kind, and cattle
after their kind, and every thing
that creepeth
upon the earth
after his kind:
and God saw
that it was good.

GEN 1:26 And
God said, Let us
make man in our
image, after our
likeness: and let
them have dominion over
the fish of the
sea, and over the
fowl of the air,
and over the
cattle, and over all the earth, and
over every
creeping thing
that creepeth
upon the earth.

GEN 2:18 And the
LORD God said, It
is not good that
the man should
be alone; I will
make him an help meet for
him.

GEN 2:19 And out
of the ground the
LORD God formed
every beast of the field, and
every fowl of
the air; and
brought them
unto Adam to
see what he would call them:
and whatsoever
Adam called
every living
creature, that
was the name thereof.
 
How many stalls and
horsemen?

1KI 4:26 And
Solomon had
forty thousand
stalls of horses
for his chariots,
and twelve thousand
horsemen.

2CH 9:25 And
Solomon had
four thousand
stalls for horses
and chariots, and
twelve thousand horsemen;
whom he
bestowed in the
chariot cities,
and with the
king at Jerusalem.
 
Is it folly to be wise
or not?

PRO 4:7 Wisdom
is the principal
thing; therefore
get wisdom: and
with all thy
getting get understanding.

ECC 1:18 For in
much wisdom is
much grief: and
he that
increaseth
knowledge increaseth
sorrow.

1CO 1:19: "For it
is written, I will
destroy the
wisdom of the
wise, and will
bring to nothing the
understanding of
the prudent."
 
Human vs. ghostly
impregnation

ACT 2:30
Therefore being
a prophet, and
knowing that
God had sworn
with an oath to him, that of the
fruit of his loins,
according to the
flesh, he would
raise up Christ to
sit on his throne;

MAT 1:18 Now
the birth of Jesus
Christ was on
this wise: When
as his mother
Mary was espoused to
Joseph, before
they came
together, she
was found with
child of the Holy Ghost.

[Editor's
note:
Jesus
cannot
be
both the
fruit
of
the
loins
AND the
child
of
the
Holy
Ghost.]
 
The sins of the
father

ISA 14:21
Prepare
slaughter for his
children for the
iniquity of their
fathers; that they do not rise,
nor possess the
land, nor fill the
face of the world
with cities.

DEU 24:16 The
fathers shall not
be put to death
for the children,
neither shall the
children be put to death for the
fathers: every
man shall be put
to death for his
own sin.
 
Rabbits do not chew
their cud

LEV 11:6 And the
hare, because he
cheweth the cud,
but divideth not
the hoof; he is
unclean unto you. "Gerah," the
term which
appears in the
MT means
(chewed) cud,
and also perhaps grain, or berry
(also a 20th of a
sheckel, but I
think that we
can agree that
that is irrelevant here). It does
*not* mean
dung, and there
is a perfectly
adequate
Hebrew word for that, which could
have been used.
Furthermore, the
phrase
translated "chew
the cud" in the KJV is more
exactly "bring up
the cud." Rabbits
do not bring up
anything; they
let it go all the way through,
then eat it again.
The description
given in
Leviticus is
inaccurate, and that's that.
Rabbits do eat
their own dung;
they do not bring
anything up and
chew on it.
 
Back
Top Bottom