akiona umemsema humu jf yamekwisha. mwanaume gani anaanika siri PM hadharani???
mkuu pengine hujui saikolojia hawa viumbe. wao pia wanapenda kutongoza na wanajua na taarifa yako wakitongoza huwa hawakosi, kinachowazuia ni kuhofia kujulikana kwamba mwanamke flani kamtongoza mwanaume flani. kwao ni aibu. ni kama vile wanajishusha hadhi(so cheap).
umekosea kumsema, ushamiss papuchi mkuu!!