Edoedward1
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 795
- 311
Ni kweli,wanatuvurugia watu wa aina hii[emoji21] [emoji21]Kwani tatizo lako nini hasa?
Alafu watu kame wewe ndio mnao turushia ndege wasinase huku jf, kisha hamchelewi kukipaka humu jf hata mnasababisha wengine tusiweze kupona
Otea sasa.....hivi kama unafanya kazi utakua na mchango kwel wewe.Acha kuwa bichwa gumu
Jaribu kuingia kama upendo hakuna siunatoka fasta!!Tangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku, kuna mrembo ameniruhusu hata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida, amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri, tumebadishana namba za simu ameweza kunitumia picha zake kwa muonekano ni mzuri,
Je mahusiano yakianza kunaweza kuwa na upendo wa kweli?
[emoji38] [emoji38] [emoji38]kuwa mpole kama hujawahi kutongozwa humu
wewe na mimi tusubiri zamu yetu ya kutongozwa itafika
asante mkuuMapenzi hayana formula yanaanzaje..
poa poa mkuuJaribu kuingia kama upendo hakuna siunatoka fasta!!
Nakuomba Pm bibie maana nimekuota usiku wa kuamkia leoje wewe unamapenzi ya kweli?
Lkn MO11 [emoji3] [emoji3] [emoji3]sio majibu tu hata ukikaa karibu na mimi utacheka tu
ila nilifikiri utaanza na wewe kunitongoza ili niondoke kwenye gundu la kutotongozwa humu ila mi sikutangazii
sijakuelewa mbonaLkn MO11 [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kama kuomba ushauri ni kuwatangazia sawa,ila picha hapa hazina umuhmu,muhmu ushauriUmeamua kututangazia na picha utuwekee
Hongera sana usiipoteze bahatiKama kuomba ushauri ni kuwatangazia sawa,ila picha hapa hazina umuhmu,muhmu ushauri
Nimefurahi tu na majibu yako yananikosha...sijakuelewa mbona
vp hujakosheka na mimi bado ?Nimefurahi tu na majibu yako yananikosha...
nakuja nadhani hiyo ndoto ya kunipa mimi pesaNakuomba Pm bibie maana nimekuota usiku wa kuamkia leo