kuna dada mmoja nilkutanae ktk mtandao 1 hivi wa kijamii baada ya kuchati nae kidogo akanipa namba ya simu ili tuchati vizuri pindi tupo ktk mchatiko aliniambia kuwa yy ni mke wa mtu (kidume nikajisemea moyoni hii sumu ss) basi nikajisemea hapa sina changu kashawahiwa niachane nae nisije muharibia mwanaume mwenzangu kwa kuchepuka nae basi nikaona hata urafiki naye bas lakini na umri wake ni between 24- 22 kama mie tulichati mpaka saa 5 usiku bas nikamsihi akamliwaze mumewe baada ya mahangaiko ya mchana kutwa kutafuta ridhiki akanilazimisha tuendelee kuchati kwani mumewe ameshalala bas kufika saa 7 usiku nikamuaga kuwa mie nalala kufika saa 8 usku kasoro nikiwa usingizi gafla simu iliita kucheki ni yule dada nilishtuka sana muda ule mke wa mtu upo kitandani na mume wako unanipigia simu kijana wa mtandaoni kupokea eti ooh! sina usingizi best wangu.nikamwambia muda huu mume wako akikuona unaongea na simu unafkiri atajiskiaje eti ooh! kalala fofofoooo.. mie nikakata nikamtumia sms fumba macho utakuja wenyewe