Youth Worker Tanzania
Member
- Nov 2, 2020
- 68
- 90
Ni utaratibu wa vyuo karibu vyote kwa ngazi tofauti kuwa na ratiba ambayo inaonesha mambo muhimu yanayohusiana na chuo husika.
Ujumuisha sheria na kanuni za chuo,ufaulu na madaraja tofauti ,Maeneo muhimu ya chuo kama hostel na madarasa mengine.
Na wengine huenda mbali hata wakawasaidia wanafunzi juu ya kuufahamu mji husika kilipo chuo pamoja na nini kinaweza kukurahisishia upatikanaji wa huduma muhimu.
Baadhi yetu huona kipindi hiki si lolote si chochote na hivyo kujipa muda wa kuendelea na mambo yake mengine ikiwa ni pamoja na kusalimia ndugu na jamaa au kubaki tu chumbani akisubiri kuanza rasmi kwa masomo.
Nikwambie rafiki ,Kipindi hiki kamwe usikidharau ,kwani kina mengi ya msingi ambayo ukizembea baadaye hutopata wa kukufafanulia kama walivyofanya waalimu na watendaji wengine wa chuo chako.
Usikubali kushikiwa akili na wenzako,Chuo umekwenda mwenyewe na utaondoka mwenyewe.
Youth Worker
Hardeness ,Teaches