Only her for ever
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 243
- 340
Typing error i mean college.Collages ndio nini?
Tuwape support kwa mfano akifungua site basi mjiunge huko ili kumpa support.Nini kifanyike kuwaongezea ujuzi na maarifa wahitimu wa vyuo na vyuo vikuu ili kupunguza tatizo la ajira nchi ni.
Asante
Bado umekosea kiongozi.Typing error i mean collage.
Kwa hiyo hapo umebadilisha nini sasa!Typing error i mean college.
College mkuu mbona umenikamiaKwa hiyo hapo umebadilisha nini sasa!
Acha kushindana!Kwani ukikubali umekosea unakuaje?College mkuu mbona umenikamia
Ndio nilikoseaAcha kushindana!Kwani ukikubali umekosea unakuaje?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ipo siku kitaonekana usikate tamaaMimi mwanachuo na nina kipaji cha kuchora... Nawahi siti za mbele labda kipaji changu kitakuja kuonekana siku za mbeleni
Tunaendela kuzidisha imani ila siku zikizidi kwenda bila mafanikio yoyote yale tutaswitch kwenye vipaji vya michongo michongo[emoji1][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ipo siku kitaonekana usikate tamaa
Michongo ndo kila kitu bossTunaendela kuzidisha imani ila siku zikizidi kwenda bila mafanikio yoyote yale tutaswitch kwenye vipaji vya michongo michongo[emoji1]
Bila shaka ni type error... Kweli michongo ndio kila kitu tunapoelekeaMichongo ndoa kila kitu boss