TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 12,046
- 12,542
Kuna watu huwa hawaoni thamani ya maisha, hivi kufeli masomo ya Masters ndio kufeli maisha?
Huenda hiyo Masters ndiyo ilikuwa maisha kwa mtazamo wake.... Kwa kweli Jamii yetu inahitaji sana elimu ya kujitambua.
Pia Taasisi zetu ziweke ma-counselor wa kusaidia watu wenye matatizo kama haya.