Mwanachuo akamatwa akiwanga

kumbe watanzania tumelogwa na wasomi wa ccm ndio maana kila siku tunacheza ngoma yao.!
 
hata yule mtu alietemgeneza dawa ikamnasisha mtu huko temeke inasemekana ana masters kutoka tumaini
 

Waafrika itachukua muda mrefu sana kuchomoka hapa tulipo. Ni kuloga kwa kwenda mbele,lol!
 

Mkuu umenikumbusha mbali nimecheka mwenyewe hapa.. Kuna mpangaji alikuwa amepanga upande mmoja wa nyumba ya mdingi.. Akawa hataki kuhama na keci ikafika mpaka mahakamani.. Nilichukua kitambaa cheuci halafu nikaandika kiarabu.. Kisha nikachukua yai nikalivunjia mule halafu nikamchukua chura nikamfungia mule.. Likawa bonge la hirizi.. Jamaa akalikuta mlangoni hirizi inapumua na kuruka ruka.. Naamini huko alipo anaamini mpaka leo ule ni uchawi aliouona.. Maisha ya uswahili kiboko.. Wanaogopa uchawi kuliko polisi..
 
...atakuwa TUNGULILEGE MWAKITWANGO huyo...tehteh
 
JF habari bila chanzo na udhibitisho usiikubali. Last week walizusha wahitimu wazumbe lupata ajali wakitokea kwa mahafali. Chezea gt wa kubumba.
 
mbona habari hii ya zamani sana jamani na huyu dada hakuwa anawanga anamatatizo ya akili toka long. Msipende kuzushazusha vi2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…