TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

Apumzike kwa Amani. Pole kwa ndugu,jamaa na marafiki wote. Hii ni njia yetu sote ,tujiandae kila iitwapo leo hatujui saa wala siku .
 
RIP,
moderators mko fasta, mshafuta account yakee, WASIFU WA MAREHEMuuu, pia sie wanajukwaa hili twapenda pita na kuona machapisho yake humuuu


1571233702385.png
 
Back
Top Bottom