Mwanachama mpya, nikaribisheni

Akina bright, clever etc hayo majina mnatakiwa darasani kuyafanyia kazi maana haiwezekani mtu anaitwa hayo majina afu darasani ana changamoto na ule utaratibu wa kusoma wa kwanza had wa mwisho sio rafiki kwa hayo majina.

Karibu jf.
 
Hebu weka kapicha kako hapo mjomba tukujue maana naona utambulisho wako una mapengo haujakamilika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom