Disposal JF-Expert Member Joined Oct 22, 2013 Posts 285 Reaction score 78 Jul 30, 2015 #1 Jamani jodi humu. Me mgeni nmeungana nanyi mana nmechoka kusoma tu nmefurahishwa na habari za humu. Naomba kutanguliza shukrani pia ningependa nipate malezi mpaka nikomae kutoka hoja na kuleta mada za kueleweka.
Jamani jodi humu. Me mgeni nmeungana nanyi mana nmechoka kusoma tu nmefurahishwa na habari za humu. Naomba kutanguliza shukrani pia ningependa nipate malezi mpaka nikomae kutoka hoja na kuleta mada za kueleweka.
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,262 Reaction score 530 Jul 30, 2015 #2 jamani..mgeni wkt joining date ni mwaka 2013..we sio mgeni humu bwana, tuseme ulikuwa mwangaliaji tu
Disposal JF-Expert Member Joined Oct 22, 2013 Posts 285 Reaction score 78 Jul 30, 2015 Thread starter #3 Hahahaha nilijiunga nikapotea sasa nmerudi na sijui wapi pa kuanzia ningependa kama ningepata mtu kama director wa kuniongoza
Hahahaha nilijiunga nikapotea sasa nmerudi na sijui wapi pa kuanzia ningependa kama ningepata mtu kama director wa kuniongoza
Disposal JF-Expert Member Joined Oct 22, 2013 Posts 285 Reaction score 78 Jul 30, 2015 Thread starter #4 bnf said: karibu team lowàssa Click to expand... Hahaha ina mana tunaongia kipindi hiki Ni Team Lowasa???
bnf said: karibu team lowàssa Click to expand... Hahaha ina mana tunaongia kipindi hiki Ni Team Lowasa???
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,983 Reaction score 10,351 Jul 30, 2015 #5 Acha uzushi,sema unaboost ID yako ili uanze ushuzi wa Siasa humu.
sifongo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,895 Reaction score 5,308 Jul 30, 2015 #6 Mbona unaonekana kama mwenyeji kamanda............ila karibu sana.
mgosi9 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,581 Reaction score 261 Jul 30, 2015 #7 Disposal said: Hahahaha nilijiunga nikapotea sasa nmerudi na sijui wapi pa kuanzia ningependa kama ningepata mtu kama director wa kuniongoza Click to expand... nenda jukwaa la siasa kuna madirector wengi tu.
Disposal said: Hahahaha nilijiunga nikapotea sasa nmerudi na sijui wapi pa kuanzia ningependa kama ningepata mtu kama director wa kuniongoza Click to expand... nenda jukwaa la siasa kuna madirector wengi tu.
Disposal JF-Expert Member Joined Oct 22, 2013 Posts 285 Reaction score 78 Jul 30, 2015 Thread starter #8 mgosi9 said: nenda jukwaa la siasa kuna madirector wengi tu. Click to expand... Wewe huwezi???
mgosi9 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 1,581 Reaction score 261 Jul 30, 2015 #9 Disposal said: Wewe huwezi??? Click to expand... Nisikufiche tu bure mimi siwezi
S sily JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 926 Reaction score 578 Jul 30, 2015 #10 Naomba niwe director wako tafadhali najua sitakosa chochote