Mwana MMU jerrytz amepata ajali

timeline

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
458
Reaction score
2,432
Member w

Kwa mujibu wa aliyenipa taarifa ni kwamba wamepata majeraha machache na wanashukuru wapo hai. Chanzo ni Lori kuhama upande
 
Pole sana kwa ajali@jerrytz Mungu mkubwa umenusurika Glory to almost God.
 
pole jerrytz na wenzako. mpone mapema
 
Last edited by a moderator:
pole sana mwana JF na wenzako kwa yaliowakuta
 
Pole jerrytz na utapate nafuu mapema.

Ila naomba Moderator na Invisible msaidie kubadili heading isomeke mwanaJF badala ya mwanaMMU, hii inapoteza umoja wetu kama wanaJF, nahofia itafika wakati watu watatambulika kwa majukwaa badala ya JF kwa ujumla wake.
 
Last edited by a moderator:

jerrytz get well soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…