Mwana kulitafuta mpaka kulipata

Uraiani kugumu
Biashara si yele mama

Ova
 
Hajawahi kulitendea haki jina lake!! Ngoja apigwe na jua kwanza, ila ukuu wa wilaya....
 
Alidhani akiongea shit kuhusu chama kilichomlea ndiyo atapendwa na MaCCM kumbe ndiy kwaanza wamemtilia mashaka wamemtia spana.
Jamaa aliongea mno jmn hata mwanamke Malaya aliyeona pesa ya mteja hajipendekezi kwa kiasi jamaa alivyojipendekeza. Angehama tu kistaarabu. Vipi wale walionyanyaswa kingono nao wanaendeleaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…