Huu utani??? au uko serious???? Naipenda Tanzania kwa uhuru wa kutoa maoni hata kama ni kutia kidole jichoni kwa mkuu wa kaya na bado ukawa salama. Tusizoee sana hii kwani iko siku watachukua nchi chama chenu, na babu alivyo mkali, akitaniwa atanyonga mtu!!!