The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,626 Jun 17, 2012 #1 kama kuna mtu hapa jf anaishi kyela au anakwenda mara kwa mara from dar naomba tuwasiliane please
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,626 Jun 18, 2012 Thread starter #2 anyone?
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Jun 18, 2012 #3 Sema unataka nini mkuu
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,626 Jun 20, 2012 Thread starter #4 kyela kimyaaa
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,930 Reaction score 8,452 Jun 20, 2012 #5 Hee hee wanaogopa kubebeshwa viloba vya Unnyanfu(mchele)
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,635 Reaction score 6,231 Jun 20, 2012 #6 Hebu wasiliana na Mtanzania (George Mwakalinga) ambaye ni Member wa JF kwa jina hilo la MTANZANIA. Ingawa hayupo Kyela kimwili, yupo sana pale kimawasiliano na atakupa watu/mtu unayemtaka. Mtumie PM na nina imani atakujibu haraka sana. Kila la kheri.
Hebu wasiliana na Mtanzania (George Mwakalinga) ambaye ni Member wa JF kwa jina hilo la MTANZANIA. Ingawa hayupo Kyela kimwili, yupo sana pale kimawasiliano na atakupa watu/mtu unayemtaka. Mtumie PM na nina imani atakujibu haraka sana. Kila la kheri.