Mwana JF ulimpendea nini mwenza wako?

Mwana JF ulimpendea nini mwenza wako?

nilimpenda sababu alikuwa mshabiki wa barcelona&wakimataifa
 
Nawasabahi wanajf wote!

Sina shaka mnaendelea vyema kama sivyo pole, chukulia ni kawaida kwa maisha ya wanadamu hapa dunia.Turudi kwenye mada, katika kutafuta wenza wengi tumekuwa na preference tofauti baadhi huangalia muonekano kama kimo, unene au ufupi na rangi .

Wapo ambao kabila ni kipaumbele cha 1, baadhi kigezo kikubwa ni inteligence background ya familia ya mwenza wengine mkwanja mimi binafsi vigezo vilikuwa mke mrefu mwembamba mwenye miguu mizuri ya nyama na makalio yaliyotokeza, macho meupe, suala la inteligence lilikuwa ni kipaumbele pia halafu awe kama alivyo no make up lipshine wala kushuka namshukuru Mungu kwa niliyenaye je wewe ulivutiwa na nini labda.

Karibu tuchangie mada nawasilisha
Mm nimempenda mpenz wang kwasababu alinitongoza mwenyewe na pia aniombi pesa
 
Sijui nilimpendea nini lakini kila nikimwona nna smile natamani kukakaa naye muda wote. sasa sijui tutakula mawe
 
1452683184381.jpg
 
Wangu nilimpendea hela!Kwao wana "mpunga" sana nikaona hiyo fursa nikaichangamkia
 
Kumbe inawezekana kuwa na tako,guu lakini NO KITAMBI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

abi13.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom