Mwana JF ulimpendea nini mwenza wako?

Mwana JF ulimpendea nini mwenza wako?

Wangu mie mrefu, mwembamba wa wastani kama kidoti, yupo mix baba mzungu mama black, makalio na mpole. Pia alikuwa model zamani, Ila anaogopa Paka na kila aina ya wadudu hapa ndio hunikera hupiga kelele ukienda ati anaogopa lady bugs.
 
Mimi IQ tu yupo kama yule Babu alieangushwa na Bulaya na nampenda balaa
 
Last edited:
Nawashukuru kwa michango yenu nimeona preference nyingi, sikuwahi kufikiri kama mtu anaweza kuvutiwa na sauti, Mungu wa ajabu kila mtu kampa sifa yake ili amvutie ubavu wake zipo za asili ambayo mtu huzaliwa nazo zipo pia za kutengeneza kama kutengeneza misuli n.k basi tumieni hizi kama fursa za kujipatia wenza ila changamoto yake hazidumu
 
kupenda ni kuzoea tu, no more no less! rejea kanumba na lulu, johari na ray
 
Intelligence
einstein-formule-tableau.jpg

Or talent
B2E.jpg
 
Last edited:
Sura,,rang ya mwl, lips zake,,breast zake,,vagina yake mnato na ndogo..msafi she is very smart nazama chumvin km nalamba ice cream ya chumv+sugar..mtoto ni mtamu sijawah ona
 
Dah!sina chakuelezea ila anamoyo mzuri,sinasababu ya hata moja inayoelezeka sina maelezo ila ndio mtu nnaye tamani kukaa karibu naye maisha yangu yote,nanipo tayari kumtumikia kwa uaminifu.sijui nisemaje labda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom