Mwana jf mwenzangu nisaidie kazi

AYO AYO

Member
Nov 16, 2015
30
26
Habari za mchana wakuu?
Jamani nmehangaika, nimezunguka sana, familia huko kijijini inanililia, maisha yamekuwa magumu!!
Mwanaume kama kichwa cha familia halafu ajira sina inakuwa ni hatari sana!!

Naombeni msaada wenu wekuu nipate kazi
-naweza kuongea Kiswahili na Kiingereza vizuri sana
-naweza kujieleza, kusimamia watu wafanye kazi bila shida
-naweza kufanya kazi bila kusimamiwa
-naweza kufanya kazi mpaka masaa kumi na mbili
-naweza kufanya kazi nyingi, tofauti tofauti kama nitapewa mafunzo juu ya kazi mpya

*ELIMU YANGU NI KIDATO CHA SITA, NAPATIKANA JIJINI MWANZA*

JAMANI KWA ATAKAEPENDA KUNIPA AJIRA TAFADHALI USISITE KNIAMBIA HAPA AU KWA PM
 
Kuliko kukaa tu, pale buzuruga pembeni ya chuo cha unesi kuna kampuni inajiita Western London kama sijakosea... Wanahusika na biashara za promotion ya vitu mbalimbali mitaani.. Unaweza kwenda ukapata mkate wako wa kila siku
 
Back
Top Bottom