Aisee ngoja nianze kumfuatilia huyu na mimi nione utata wake
hahahaha angalia usije kuchapwa nao
kuna mahali umetenda sivyo?
ni nani mwanaJF mtata kuliko wote? yaani kwa ID, POSTS, AVATAR, REPLIES NK..!
Naweza kuwa mtata ila ban linaninyemelea
ni nani mwanaJF mtata kuliko wote? yaani kwa ID, POSTS, AVATAR, REPLIES NK..!
weeeeeeeeee usizungumze hivyo shauriro
Nshapigwa ban mwenzako, nimekoma