ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,049
- 61,375
mimi mnipe kazi ya udereva wa malori kama yatakuwepo.Wana jf sisi ni Kama ndugu.niseme tu ukweli Mimi Sina hela Wala Sina ajira lakini natambua siko peke yangu vijana wengi tu humuhumu jf hatuna michongo tunaunga unga tu hivohivo.sasa wakuu wenzetu ambao mko vizuri (nazungumzia member ambao ni mabilionea) nashauri mtengeneze likiwanda la kuzalisha bidhaa yoyote alafu mtuajiri sisi member wenzenu ambao hatuna kazi .sisi ndo tuwe kipaumbele kwenye ajira tunawaahidi tutachapa kazi tukiingia shift simu tunazima hakuna kuchungulia chungulia jf ni kazi kazi.naamini wapo huku wenzetu matajiri mmoja ajitokeze basi Tena hiko kiwanda kikubwa unaeza hata ukakiita JF company limited bidhaa utajua mwenyewe.naombeni mlifanyie kazi wazo langu.vibarua ambao ni ma great thinker tunapatikanika humuhumu.niko serious
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
Mi nitakuwa secretary wakeKuna tajiri humu anaitwa Mikwara Ya Andunje, akiuona huu uzi atalifanyia kazi hili swala.
Mi nitakuwa secretary wake
Mimi nitakuwa mpika chaiMi nitakuwa secretary wake
Labda tumshawishi max melo anzishe tv yake alafu kuwe na free coll ambayo mtu utajisikia kupiga cm kutoa lalamiko lake la moyoni kama anavyofanya hapa jf kwa fake id yaani kule atakuwa na kifaa maalum ambacho hakiwezi kuchukuliwa data za mpiga cmWana jf sisi ni Kama ndugu.niseme tu ukweli Mimi Sina hela Wala Sina ajira lakini natambua siko peke yangu vijana wengi tu humuhumu jf hatuna michongo tunaunga unga tu hivohivo.sasa wakuu wenzetu ambao mko vizuri (nazungumzia member ambao ni mabilionea) nashauri mtengeneze likiwanda la kuzalisha bidhaa yoyote alafu mtuajiri sisi member wenzenu ambao hatuna kazi .sisi ndo tuwe kipaumbele kwenye ajira tunawaahidi tutachapa kazi tukiingia shift simu tunazima hakuna kuchungulia chungulia jf ni kazi kazi.naamini wapo huku wenzetu matajiri mmoja ajitokeze basi Tena hiko kiwanda kikubwa unaeza hata ukakiita JF company limited bidhaa utajua mwenyewe.naombeni mlifanyie kazi wazo langu.vibarua ambao ni ma great thinker tunapatikanika humuhumu.niko serious
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
Nikanye bureAtakwambia uende Bunju kwenye hekalu lake kule.
Sawa hana shida Mikwara Ya AndunjeMimi nitakuwa mpika chai
Nikanye bure
Maskin wa jf wote atatuajiriHahaha, jamaa ni komediani wa ukweli.
Huyo jamaa hamna kitu Jana kaniahidi na hajatimiza Hadi PM nimeenda kimyaMaskin wa jf wote atatuajiri
Hana hela Anamilik mikwara tuHahaha, jamaa ni komediani wa ukweli.
We nae acha kuomba pesa wanaume wenzio,mtu akiandika humi we unaamini tu loHuyo jamaa hamna kitu Jana kaniahidi na hajatimiza Hadi PM nimeenda kimya Hana hela Anamilik mikwara tuView attachment 882324View attachment 882325View attachment 882326View attachment 882327
Hapana hii nafasi inanifaaa mimMi nitakuwa secretary wake
Hapo ila nitampelekea mimiMimi nitakuwa mpika chai