Mwana JF katikati ya jiji

aiseeeeeee babaangu hayo ndio hasara ya kuoga na maji ya chunvi
 
swadakta mkuu basi weye wafanya vyema...kuna jamaa nishawahi mshuhudia anasokomeza kidude chenye ncha kali huko kwenye n'nya ili ajikune
Unajua wakati mwingine ni kuwa mstaarabu tu watu wengine tena wenye heshima zao hufanya mambo haya bila kuwa na staha.
 
1. Minyoo at work
2. Jasho - Uchafu - JAMANI WABABA TUPENDE KUOGA MARA KWA MARA
3. Tiba ya vipele vya jasho ipo ........ mwone daktari fasta
 
mi nlishawahi ona mtu akijikuna kwa kitana maeneo hayo ati
 
1. Minyoo at work
2. Jasho - Uchafu - JAMANI WABABA TUPENDE KUOGA MARA KWA MARA
3. Tiba ya vipele vya jasho ipo ........ mwone daktari fasta


kama kazi yake ni kubeba mizigo unataka aoge mara ngapi!
 
Anatafuta King'amuzi. Mwisho wa analogia ni wiki chache tu zijazo!
 
hahaha! vituko basi. Ngoja niwahi nyumbani.

Usiku mwema wadau! salimiwa familia zenu!
 
Kijiweni kwa Ritz hapo. Halafu huyo jamaa anayetafuta mtandao sio Ritz kweli?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…