Dah basi Mkuu...Namba yake sina
Mkongwe, salama? Longtime aisee...wapi Icadon? Game Theory? Susuvili...na wengine wa enzi hizo JF ikiwa kisima hasa...RIP Dena Amsi
Rip D AmsiNi habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi
==================
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.
Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
Mungu amrehemu jamani
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.
Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.
R.I.P Dena Amsi
==================