TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Dec 26, 2016
17
105
Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi

==================

Kwa mnaotaka kujua chanzo ni kwamba alikuwa na matatizo ya kisukari tangia akiwa Nairobi, tarehe 24/12

kisukari kilipanda kwa kasi kikachanganya na presha, akakimbizwa zahanati ya karibu lakina hali ikazidi kuwa mbaya, ikabidi apelekwe Hospital ya Rabninsia lakini baada ya muda mchache akakata roho.
 
Back
Top Bottom