MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,010
Poleni. Fumanizi sio kosa la jinai, hapaswi kushikiliwa, unless no amehifadhiwa kituoni kwa Usalama wake Baada ya fumanizi. Jee anashikiliwa kwa kosa gani?, kituo gani?.
P
Kwa usalama wake

Dsm mpaka ufumaniwe ni uzembe,Hakujua kama ni mume wa mtu!