Kama Pesa hainunui Furaha, Ufukara unanunua nini?!
Kuna line anasema
Mimi nakimbiza hela, Mademu nimewaachia nyinyi
Alafu kuna line anasema
Hata haufahamu kwanini wananiita baba, roho 9 km za paka I'm my brothers keeper
Alafu anasema
The White Color don't come a Paul Castellano, wanatangulia kufunga Ila sipotezi mapambano
Usiende mbali kumbuka kuna kurudi, Mayai yote kapu moja Man karibu una BUGI
Alafu anasema
Soft life my nigga MPUNGA ndio Nguvu za Kiume
SIO KWA UBAYA